Ha ha ha!Nimependa uandikaji wa barua, tarehe inawekwa kwenye anuani ya anayepewa barua!!!!!!
Na yule mwenzie mlinda mlango namba moja mwenye gloves ya voda com Katanga hivi mbona naye simsikii au nae kaacha?Last two weeks kitenge alipiga picha na Bakhresa, bila shaka anaelekea azam
Polygamist while living expenses are hiking is suicide!!
Mashirika yapo mengi hadi BBC atapata kazi nadhani ITV hawalipi vizuri
Inaonekana IPP inawalipa kidogo sana wafanyakazi wake.
Pia wengi wanamlalamikia mtu mmoja wanayemwita kwa jina la utani la 'm'bichwa' kuwa hawatendei haki.
Huo mshahara wa IPP/ITV ni prepaid hadi aseme kuwa anarejesha? I mean, wanalipwa kwanza kabla ya kufanya kazi? Na kama ni kwa ajili ya notisi ya masaa 24, kwa nini aseme 'sehemu ya mshahara', kwa nini isiwe mshahara wote wa mwezi? Inawezekana huyu jamaa hajui anachokifanya?Kitenge said:Kwa kuwa nimefanya kazi kwa nusu mwezi kwa mwezi huu wa Agosti, ninarejesha pia fedha sehemu ya mshahara wangu kwa mujibu wa sheria ya kazi
Huo mshahara wa IPP/ITV ni prepaid hadi aseme kuwa anarejesha? I mean, wanalipwa kwanza kabla ya kufanya kazi? Na kama ni kwa ajili ya notisi ya masaa 24, kwa nini aseme 'sehemu ya mshahara', kwa nini isiwe mshahara wote wa mwezi? Inawezekana huyu jamaa hajui anachokifanya?
Kulikuwa na haja gani ya kurusha barua kwenye mtandao? Huo ni ushamba uliopitiliza