Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,322
Kaacha kazi siyo kujiuzulu kwani aliajiliwa na Umma?huko ni kuacha kazi wala haina haja ya sisi kujua.
Hakuna ujuaji hapa. Fact ni kwamba heading si sahihi. Kuna nafasi ya kuajiriwa (ajira)na nafasi ya kuteuliwa. Watu huwa wajiuzulu kwenye nafasi za kuteuliwa. Kumbuka kitenge alikuwa kwenye chombo cha mawasiliano ambacho kinasaidia kukuza kiswahili, sasa kama mkuza kiswahili hajui je mtu wa kawaida kutoka Iselamagazi itakuwaje? Tukimwita ni kanjanja tutakosea?

Resign-Kujiuzulu