Maulidi Kitenge aacha kazi ITV/Radio one

Maulidi Kitenge aacha kazi ITV/Radio one

Hakupaswa kuandika jina juu ya address yake, tar.imeandikwa mahala c pake, kwenye signature kakosea, inatakiwa ianze then a type jinale
 
Nimependa uandikaji wa barua, tarehe inawekwa kwenye anuani ya anayepewa barua!!!!!!

Nyinyi ndo mnaishi dunia ya kukariri! kuna sheria ya uwekaji wa tarehe? ndo maana bongo hakuna maendeleo nyinyi ndo mmekariri barua za darasa la tano? hihuhihuhu tarehe hata zikiwekwa mata.koni si inshu inshu je zitaonekana na msomaji? wengine huweka chini ya saini kabisa! msiwe limited kishamba jaribuni na kugoogle
 
Swaga za kwenye tarehe hapo ndo nmeipenda barua

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Nyinyi ndo mnaishi dunia ya kukariri! kuna sheria ya
uwekaji wa tarehe? ndo maana bongo hakuna maendeleo
nyinyi ndo mmekariri barua za darasa la tano?
hihuhihuhu tarehe hata zikiwekwa mata.koni si inshu
inshu je zitaonekana na msomaji? wengine huweka chini
ya saini kabisa! msiwe limited kishamba jaribuni na
kugoogle
 
Huo mshahara wa IPP/ITV ni prepaid hadi aseme kuwa anarejesha? I mean, wanalipwa kwanza kabla ya kufanya kazi? Na kama ni kwa ajili ya notisi ya masaa 24, kwa nini aseme 'sehemu ya mshahara', kwa nini isiwe mshahara wote wa mwezi? Inawezekana huyu jamaa hajui anachokifanya?

Ukiangalia aina ya uandishi inathibitisha hoja kuwa IPP Media INA waandishi na watangazaji Makanjanja.
 
IPP media ndio wanaoongoza kwa kulipa vizuri kati ya media zote Tanzania, kima cha chini ni laki nne tangu 2011

Wee kweli zuzu , unasema kitu usichokijua , hiv unajua wafanyakazi wa ipp wengi ni vibarua hawana mikataba, unajua milad alikuwa analipwa tsh? Poor you
 
Nyinyi ndo mnaishi dunia ya kukariri! kuna sheria ya
uwekaji wa tarehe? ndo maana bongo hakuna maendeleo
nyinyi ndo mmekariri barua za darasa la tano?
hihuhihuhu tarehe hata zikiwekwa mata.koni si inshu
inshu je zitaonekana na msomaji? wengine huweka chini
ya saini kabisa! msiwe limited kishamba jaribuni na
kugoogle

Jina na sahih kip kinatangulia?
 
Huo mshahara wa IPP/ITV ni prepaid hadi aseme kuwa anarejesha? I mean, wanalipwa kwanza kabla ya kufanya kazi? Na kama ni kwa ajili ya notisi ya masaa 24, kwa nini aseme 'sehemu ya mshahara', kwa nini isiwe mshahara wote wa mwezi? Inawezekana huyu jamaa hajui anachokifanya?

Kitenga galasa kabisa..wake wanamchanganya akili..
 
Kwingineko barani uropa..anabingirika hewani nambari tisa mgongoni....
 
Nyinyi ndo mnaishi dunia ya kukariri! kuna sheria ya uwekaji wa tarehe? ndo maana bongo hakuna maendeleo nyinyi ndo mmekariri barua za darasa la tano? hihuhihuhu tarehe hata zikiwekwa mata.koni si inshu inshu je zitaonekana na msomaji? wengine huweka chini ya saini kabisa! msiwe limited kishamba jaribuni na kugoogle

Nina mashaka na uelewa wako. By the way 'inshu' ndio nini? Au ndio issue?
 
du, hivi utangazaji nao unajiuzulu? du naona anawaza siasa, au amepata na yeye post serikalini ya upande wa habari nini? angeandika yah: kuacha kazi basi.

Kitenge kapata shavu nene kwenye media nyingine huko kama sio "azam tv" basi ni "clouds tv" mark my word.
 
Back
Top Bottom