Mtangazaji wa ITV na Radio One Maulid Kambaya unaharibu Kipindi cha Malumbano ya Hoja kwa Kuzuia Serikali isikosolewe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,624
108,986
Tokea uipate Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini (kama sijakosea) mwaka Jana umekuwa ni Mnoko Mnoko na mpenda Kujipendekeza (Kujikomba) kwa Mamlaka (Serikali) hasa pale Wachangiaji wa Kipindi cha Malumbano ya Hoja wakiwa Wanaikosoa.

Kinachonishangaza hasa Mimi GENTAMYCINE ni kwamba huwa tukiwa nawe Vijiweni Wewe ndiyo unakuwa wa Kwanza kuisema Serikali na Viongozi wake ila ukiingia tu Studioni hapo ITV na Radio One (hasa katika Kipindi cha Malumbano ya Hoja) huwa unajifanya Kuitetea Serikali kwa Kuzuia Watu (Wachangiaji) wasiiseme.

Nina Taarifa za uhakika kuwa unafanya yote haya baada ya Rafiki yako Mmoja (Mwana Habari Mwandamizi) aliyeko kwenye Mamlaka (Serikali) kukuahidi kuwa kwakuwa yuko karibu na Mteuwaji Mkuu na anammudu basi atakupigia pande katika Teuzi zijazo nawe Uukate kwa Kuteuliwa katika Nyadhifa za Serikali kama alivyompambani mwana ITV na Radio One Mwenzako Abdallah Mwaipaya mpaka akateuliwa kuwa Mkuu wq Wilaya ya Mwanga (kwa Wabahili Original Afrika nzima) Wapare.

Maulid Kambaya badilika haraka Ok?
 
Juma kapalatu alikiwezea sana kipindi hicho. Kambaya ujuaji mwingi, kukatisha sana mtu akija kuongea sekunde kadhaa muda umeisha kaa. Apunguze ubabe aache watu walumbane.....
 
Mimi niliacha kuangalia siku nyingi baada ya kumuona anvyozuia mawazo huru, haifanani na msomi hata kidogo
 
Kwahiyo double G yy ndio anajifanya yupo karibu na b mdash na anamsikiliza kiasi Cha kuwapigia wenzake winga wapate teuzi.

Sasa double G jiandae tunafanyia kazi hizi taarifa kama ni kweli ujiandae kurudi kwa mwajiri wako wa zamani.
 
Muachege kuwa na Kiherehere kama Kinyesi cha Alfajiri sawa? Na kwa Taarifa yako niliyemsema hapo wala siyo DC Godwin Gondwe bali ni Mtu mwingine aliyetamba Ikulu Awamu ya Hayati na bado anaendelea Kutamba hata Awamu hii huku akiwa ni mwana Habari Mwandamizi mwenye Sauti ya Kimamlaka hata alipokuwa akiwa Reporter akitokea Mkoa wake ambao Wanaume wanaosifika kwa Kutunza Fedha ila siyo Mwanamke.
 
Tokea uipate Degree yako ya Mass Communication kutoka Chuo Kikuu cha Tumaini (kama sijakosea) mwaka Jana umekuwa ni Mnoko Mnoko na mpenda Kujipendekeza (Kujikomba) kwa Mamlaka (Serikali) hasa pale Wachangiaji wa Kipindi cha Malumbano ya Hoja wakiwa Wanaikosoa.

Kinachonishangaza hasa Mimi GENTAMYCINE ni kwamba huwa tukiwa nawe Vijiweni Wewe ndiyo unakuwa wa Kwanza kuisema Serikali na Viongozi wake ila ukiingia tu Studioni hapo ITV na Radio One (hasa katika Kipindi cha Malumbano ya Hoja) huwa unajifanya Kuitetea Serikali kwa Kuzuia Watu (Wachangiaji) wasiiseme.

Nina Taarifa za uhakika kuwa unafanya yote haya baada ya Rafiki yako Mmoja (Mwana Habari Mwandamizi) aliyeko kwenye Mamlaka (Serikali) kukuahidi kuwa kwakuwa yuko karibu na Mteuwaji Mkuu na anammudu basi atakupigia pande katika Teuzi zijazo nawe Uukate kwa Kuteuliwa katika Nyadhifa za Serikali kama alivyompambani mwana ITV na Radio One Mwenzako Abdallah Mwaipaya mpaka akateuliwa kuwa Mkuu wq Wilaya ya Mwanga (kwa Wabahili Original Afrika nzima) Wapare.

Maulid Kambaya tu badilika haraka.
KADA HUYO
 
sio yeye ni sheria za kampuni ya ITV ndio hairuhusu serikali kusemwa yeye anafuata sheria za kazi. akifukuzwa kazi nyinyi mtampa kazi au ndio mtazidi kumcheka, maulidi kambaya yupo sawa kwa kufuata sheria aliyowekewa na offisi yake na kufuata mipaka ya kazi
 
Sawa Maulid Kambaya umeeleweka!
 
Back
Top Bottom