Makoo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 409
- 400
Hio Message yake amekosea ama ?
Sababu anasema baada ya kutumika kwa miaka 14... hii inatoa maana nyingine kabisa ukilinganisha na kutumikia
It means alikuwa ameajiriwa na sasa anaenda kujiajiri mwnyw.
Hio Message yake amekosea ama ?
Sababu anasema baada ya kutumika kwa miaka 14... hii inatoa maana nyingine kabisa ukilinganisha na kutumikia
Pasco umemjibu vizuri sana huyo mjivuni, nimefurahishwa na hilo hongera sana!!!Mkuu So Notorious, asante kwa kumtambulisha Kitenge kama mate wangu TSJ, kiukweli sio mate wangu TSJ bali colleague kwenye fani!. Mimi ni wa TSJ ile ya Tanzania School of Journalism sasa (IJMC) na Kitenge ni wa TSJ hii ya sasa ya Time School of Journalism. Mimi na Maulid tuna gap ya kama miaka 10!, ila tunachofana ni idadi ya wake na tofouti ya watoto, yeye watoto ni wawili, mimi 7!.
Pasco
Kama barua inakuwa shughuli pevu, hiyo habari si ndio kiama?Mkuu TSJ hawafundishi uandishi wa barua. Kile ni chuo cha uandishi wa habari.
Ni wote. Wana msemo wao kwamba ili uwe tajiri lazima uwe katili. Unyonyaji ni aina moja ya ukatili.'Hakuna tajiri asiye mnonyaji'... I mean sio wote, but ni wengi wao...
Akili za kijinga hizi ulitaka kila kona umuone na gari? anamiliki radio station Dodoma.
kaka nitajie watu wawili tu unaowajua wewe ambao hawana michepuko hata wenye ndoa za wake wengi
IPP media ndio wanaoongoza kwa kulipa vizuri kati ya media zote Tanzania, kima cha chini ni laki nne tangu 2011
Haya kwa kiswahili Nyerere alijiuzuru Urais au ilikuwaje?
Wamesoma mtambani seminary
Mzee sijui watu wanamuogopa kusema ukweli wake haingii akilin mtu nenda rudi unapiga part time huku ukiwa unauza sura hata na hivo kitenge amevumilia sana aisee
yaani, hapo ndio ataisoma namba. halafu awe na mtoto mchanga sasa na dada wa kazi ndio kashaaga kesho anasepa.
Saini nayo ipo chini ya jina, mmmh hii elimu ya siku hizi nayo majanga yaani kuandika barua ya kikazi shidaaaa. Yaani kuanzia darasa la nne mtu unafundishwa jinsi ya kuandika barua mpaka la saba na bado unatoka kapa. Juzi hapa kuna mwanafunzi ameniambia nimsadie kuangalia barua yake ya maombi ya kazi kama ina makosa, nikakuta upande wa kulia juu ndio kaweka anuwani ya anapoomba kazi na kushoto chini ndio kaweka anuwani yake. Mungu ibariki elimu ya Tanzania
Kung'atuka kwa kingereza ni kustep down, sasa turudi kwenye hoja ya msingiAling'atuka mkuu
Kaacha kazi au kajiuzulu? Asijipaishe hapa!
Taarifa zilizopo ni kuwa kiko Dodoma.Mkuu abdalah majura anakituo cha radio? Kinaitwaje? Maana kuna ck nlikutana nae kwenye mizinguko ya mjin, yupo kawaida sana tena kwa miguu!
Nifahamishe hicho kituo cha radio plz
kutumika?
kutumikia?
Mhh... utata