MTANGAZAJI wa michezo wa Radio One Stereo na ITV, Maulid Kitenge kupitia akaunti yake ya Twitter hivi punde ametangaza kuondoka rasmi katika kampuni hiyo ya IPP baada ya kuitumikia kwa miaka 14. Je, nini maoni yako.
Atakuwa amepata kazi sehemu nyingine ama ashajipanga maana kulisha wake watatu mjini Dar es Salaam halafu kuacha kazi bila kujipanga unaweza ukashangaa kesho kajitundika
ki ukweli ni PENGO kubwa sana