Maulidi Kitenge aacha kazi ITV/Radio one

Maulidi Kitenge aacha kazi ITV/Radio one

Halafu alibaki naka-form 4 kake... wenzake kina misanya, double G walijiendeleza kielimu wakatokea huko... yeye hakuwa na mikakati mingine
 
Anayekimbia bila taarifa ndio sio muungwana lkn huyo kaacha kazi na barua kaandiks mshahara karudisha na shukrani ametoa kwa mwajili wake.unataka awe mstaarabu wa aina ipi tena

hana tofauti na aliekimbia bila taarifa. muajiri atapata wapi replacement ndani ya muda mfupi hivo? ukiangalia kwa upande wa pili (upande wa mwajiri) si uungwana. tena kwa mtu uliefanya nae kazi miaka yote hiyo ghafla tu unatoa taarifa za kuacha kazi!!!!?
 
hata mimi sijapenda kabisa..... bora hata angedanganya sababu kuliko hiyo sababu aliyoitoa. ... vizuri kama amepata kazi sehemu nyingne. kufanya kazi sehemu moja miaka 14 yote hiyo ni mingi sana.

Unapenda uongo!!!!!!!
 
Anayekimbia bila taarifa ndio sio muungwana lkn huyo kaacha kazi na barua kaandiks mshahara karudisha na shukrani ametoa kwa mwajili wake.unataka awe mstaarabu wa aina ipi tena

Exactly..
 
Mwanzoni nilijua mawasiliano ya kuacha kazi au kuomba kuongezwa mshahara ni kati ya mwajiri na mwajiriwa siku naona resignation letter zinageuka press release sasa.
 
Kabisa jamaa hakuna halichokosea hata sehemu moja kujiuzuru ni kuachia ngazi na yeye amesema kabisa ameachia ngazi kama mtangazaji/mwandishi radio1/itv
~Ni halali kwa yeye kulipa mshahara nusu maana amefanya kazi siku 18 tena inatakiwa alipe siku 10 tu
~Tarehe na sahihi ni design tu inategemea mtu ataweka vipi zote ruksa.
~Kutoa sababu ya kuacha kazi kwenye barua ni jambo la msingi sana na sababu aliyotoa ina mantiki kwamba mshahara ni mdogo.


Nasikia alikuwa libarua kwa baba wawili
 
Ni kweli kabisa ndo maana ni rahisi kuwashawishi wafanyakazi wake start with Regina,Millard.,mussa,Adrian nk

Mzee sijui waandishi wetu wanamuogopa kusema ukweli wake ,haingii akilin miaka nenda rudi unapiga part time huku ukiwa unauza sura hata na hivo kitenge amevumilia sana aisee
 
Back
Top Bottom