SoNotorious
JF-Expert Member
- Sep 11, 2011
- 2,422
- 859
Wenzake walitangaza kwa hali ngumu iliyokuwepo na wakafanikiwa now wako bbc, voa, na kungineko,, kikeke, chaz hilari, nk. Yeye alioa wake kadhaa, angetoka kweli utaendaje ulaya na wake wote hao?
kwa wake wanne hata aljazeera hawampokei