Maulidi Kitenge aacha kazi ITV/Radio one

Maulidi Kitenge aacha kazi ITV/Radio one

....bado sijaona kosa la kiuandishi hapo upande wa Tarehe.
It's an immediate resignation notice,
Suala la kurudisha mshahara halina mjadala, kaliweka sawa sawa.

Mnaohoji template aliyoitumia leteni samples zenu hapa 'tuone' ya nani muafaka, otherwise wengi wenu mnalaumu kiushabiki tu.


#MosKwito !
Humu ni ushabiki tu na kumchukia tu mtu..hayo makosa hata kama yapo ni 'common mistakes' hata Barua za kina Obama zina mistakes pia...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mengi anawanyonya sana wafanya kazi wake bora kitenge katambaa zake.
 
Mmmmh kwa mujibu wa barua hiyo ,mpunga wa ITV kwake ulikuwa Mdogo huku life inabana huenda kaka kapata pazuri

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
usiwapakevibaya ukarudi tena kule kama.........
 
Atakuwa amepata kazi sehemu nyingine ama ashajipanga maana kulisha wake watatu mjini Dar es Salaam halafu kuacha kazi bila kujipanga unaweza ukashangaa kesho kajitundika

ana 4 MPWA HUYU AMI KIFAA ATI NAHISI KAMPUNI YA VIAGRA ILIANZIA KWAKE
 
Kusomesha watoto ni jambo zuri sana..yaani jitu zima na akili zake eti linasema limejiuzulu!!!! Mxxxxxx halijui tofauti ya kujiuzulu na kuacha kazi!!

Ita vyovyote vile kujiuzulu kuachia ngazi kustaafu yote sawa tu! Ngoja nikuulize!Kwani mtu akijiuzulu ina maana anaendelea kubaki kwenye nafasi yake?..wewe ndio kubwa jinga !
 
Wrong....kama muajiri Mpya anataka aanze kazi immediately.?...afanyaje?

ndio inabidi usiwe muungwana kwa kuacha kazi ndani ya muda mfupi na kujoin kwa muajiri mpya. huwezi kuwa muungwana hapo wakati unajua kabisa kuondoka kwako ndani ya muda mfupi huo kutaathiri utendaji.
 
Wanalipa kidogo ukilinganisha na sekta gani?
Labda ututajie kima chao cha chini cha mshahara ili tulinganishe na sekta nyingine.

Almost watanzania wanalipwa mishahara midogo iwe serikalini au binafsi .
Watu wanaishi kijanja janja tu,iwe kwa rushwa au wizi na dili nyingine ndio maana watu wakimbila ajira za serikali mana huko ni shamba la bibi la rushwa na wizi.

Mfano tu mfanyakazi wa sekta za kawaida tu za umma bado hajafikisha taking home ya kima cha chini sh.270,000/= kwa mshahara wa mwezi lakini wanabangaiza hivyo hivyo.
Kwa hiyo kulaumu IPP peke yao ni sawa lakini nimulike na mashirika na taasisi nyingine kwani huko nako kuna matatizo hayo hayo.

Cha msingi ni mtu kutafuta fursa ya kujiajiri ili kuongeza kipato vinginevyo utatoka kupitia rushwa na wizi tu.

Taking home!!..sawa mtaalam
 
Back
Top Bottom