Maulidi Kitenge aacha kazi ITV/Radio one

Maulidi Kitenge aacha kazi ITV/Radio one

Hiyo barua ni ya mtu ambaye ni pro wa maswala ya media kweli?!

Bongo bado sana
 
Maulid bhana sijui aliandika kwa hasira.
Mshahara hauwezi tunza wamama wanne.
 
Hiyo barua sioni vizuri, kwani kataja mshahara hapo?
 
atakuwa anajipanga kugombea ubunge Jimbo la Ubungo 2015.
 
Maudhui ya hayo barua ni kwamba Bwana mengi hatoi mshahara mzuri,,,sasa we unafanya kazi kwa Mchagga unategemea nini?


Sent from my iPad Air using JamiiForums
 
Kawa mstaarabu tu kwa kumsitiri mwajiri wake ila ukweli ni kwamba lile chaka ninalipa kiduchu sana.

Unajua tatizo letu huwa tunapenda kuhukumu upande mmoja na hatujiulizi kwanini kakaa hapo miaka 14?
Tatizo tunapopata ajira tunataka kunufaika Kama mwajiri kupitia mshahara!
Wakati ukweli ni kwamba kwa kazi za Tanzania huwezi kunufaika kupitia mshahara tuu!

Hata serikalini hakuna malipo mazuri Bali ni kiduchu! Mtu mwenye degree anaanza na tsh600000 kweli inaweza kutosha kwa maisha ya sasa? Hakuna chombo cha habari nchini kinachoweza kumlizisha mtu hasa kwa kipato.

Halafu tunasahau kuwa huwa tuna sign mikataba na huwa hatulazumishwi kusign lakini tatizo letu tukisha pata kajina kidogo basi tunaona tuna nyonywa !

Pia tuna sahau kuwa si peke yetu tumeajiriwa na kila mtu anahitaji mshahara mkubwa hasa tunapo waona waajiri matajiri basi nasi tunataka kutajirika kama wao.

Vituo vingi vinalipa mishahara ya kawaida tuu name ndio maana utaona huyu anatoka mwingine ana ingia.
 
IPP malipo ni utata afu kuna ukabila wa chinichini ambao ni vigumu kuugundua..Fanya tathmini ni watu wepi wanaoondoka pale utagundua
 
Back
Top Bottom