Mbona record zinaonyesha Arsenal ndiyo mchepuko wa Man city ?Manyumbu wanakazaga wakikutana na Arsenal, Chelsea & Liverpool. Ila wakikutana na man city, wanachezaga kama wamekatwa miguu
Umeandika kwa hisia sana😂Mechi ngumu sana, kwa man u na city. Lately tumekuwa tukitengeneza nafasi za magoli, uchoyo,ubinafsi na umaliziaji mbaya ukawa unatuhukumu, tukivifanyia kazi hivyo, city anakufa mapema watu tuna pack bus maana uwezo wa kuchezea mpira hatuna.
My bet:
First team to score: man u🔥🔥🔥
Unataka tukomae au tuachie?Mtaweza kukomaa?