Ntalukwilasa
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 989
- 1,281
Another chance wasted... Rashiford angekuwa na hat trick
Mkuu mimi ni shabiki tangu kale na kaleUmeandika kwa hisia sana😂









Live sportslive stream jamani naomba link
Si unaonaLeo komaeni basi na nyie mmfunge City,tupo nanyi 😀😀
By Liverpool fans
Jomba punguza roho mbaya leo tuko na nyinyiGGMU
Matokeo yakiwa ni upande wetu itakuwa ni jambo jema, ila hata yakiwa tofauti sawa tuu (Hakuna kusaidia timu zingine)