Bora tumrudishe Ole tu huyu kocha katuletea mpira ule wa Morinho wakupaki basi yaani hamna tunachocheza, kawajaza wachezaji uwoga wanacheza kwa wasiwasi muda wote. Enzi za Solkser muda kama city wangekuwa washatoa ulimi.
Timu ya wacheza sodo hii, hapa timu hakuna nafikiri msimu huu Wala watu wasijipe presha ya Bure Kwa timu hii...hapo ndipo utakapoona kuwa hii timu Haina hata mchezaji wa maana wa kujivunia, wakati watu wapo serious na football mgt hii timu ilikuwa inakenua meno hahaha
Yaan mkiend kukaa mkatulia mkatafuta stats za game yenu leo mtalia usiku kucha,haki hamtalala mtaamka muende mazoezini.....untd player cant even pass a ball...what a shame
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.