Hahahaha[emoji23] Nyumbu akicheza mashabiki wake duniani kote wanalia mooo mooo wanataka dume.FT 3 - 1
Wanacheza mpira wa ujanja ujanja...Kocha hamna humu.Yaan mkiend kukaa mkatulia mkatafuta stats za game yenu leo mtalia usiku kucha,haki hamtalala mtaamka muende mazoezini.....untd player cant even pass a ball...what a shame
Hukuona zile sub za kijinga kabisa.Yaani hadi dakika ya 70 mpo sawa
Dakika za mwisho mnaachia mabao yote hayo? 🚮
10Hag ni mwehuHukuona zile sub za kijinga kabisa.
Jinga hili jamaa🚨🚨Score if you can 😂😂😂
View attachment 2923348
Huyu kocha anyongwe sio kawaidaErik ten Hag: “The players gave everything. The performance was very good. It was very small margins.” #MUFC [Sky