Wapigeni mkiweza. Hatuwapendi nyie manyumbu ila leo pragmatism yetu inasema ni bora City asishinde. Ikipibidi apigwe na nyie tutavumilia tu.Unataka tukomae au tuachie?
Tunajua hamuwawezi cityArsenyau na Livakuku msijipe false hope kua leo tutamkazia Man City, sisi kama mashabiki wa Man Utd hii vita yenu ya kugombea Ubingwa sisi haituhusu kabisa hivyo points3 za Mancity leo ziko palepale pambaneni tu na hali zenu.
Kabisa hakuna coach hapoTenhag ni mid team coach hatatupeleka popote