Scouts wa Ole walileta ripoti kwamba Antony thamani yake ni 25M.

Kisha wakapeleka taarifa kwa wakala wake kwamba hawatolipa zaidi ya 60M.

Akaja Erik Kichwa ngumu. Akafosi kikosi kiongezwe na anamtaka Antony, hiyo ni kuelekea dirisha kufungwa.

Wakatoa 95M (Guaranteed) na 5M (add ons)

Erik alisema asingekubali kazi ya Unyumbuni kama asingeachiwa kucontrol usajili. Nasikia analalamika Amrabat haendani na mfumo.

Hebu tafuta usajili wa Erik ambao umeleta matunda
 
Hao walio sub woteee wanatakiwa wasiwepo Manchester
Rashford na Bayindir wanastahili kubaki. Rashford uzawa unambeba kukamilisha idadi ya wazawa kwenye kikosi, pia quality yake kama squad player ni nzuri.

Ila lazima timu ipate LW wa uhakika Chidi siyo wa kumuamini kabisa.
 
Nyumbu someni hii article muone jinsi timu yenu wahuni wanavyoichezea.
 
Attachments

  • Special report; Inside the Manchester United football operation INEOS stands to inherit.PDF
    69.4 KB · Views: 3
Erik 7 hag alishatimiza vigezo vya kufukuzwa

Kwasasa naomba asifukuzwe na apewe mkataba mrefu

Napenda Sana kuona mnacheza pira magimbi pira makande

20231223_185543.jpg
 
Erik 7 hag alishatimiza vigezo vya kufukuzwa

Kwasasa naomba asifukuzwe na apewe mkataba mrefu

Napenda Sana kuona mnacheza pira magimbi pira makande

View attachment 2851372
Game ijayo wanacheza na Villa pale Old Trafford...kwahakika ntakuwa na Manunu washinde hii game...ni heri kuwa na kipara baba Ubaya kama kocha maana tunajua atacheza mechi 2 vzuri then 5 zinazofata atabutuliwa kuliko kuletewa kocha mwingine halafu akabadilisha mambo wakawa wanaleta upinzani tena hawa
 
Baada ya mechi ya brentford kufunga magoli 2, licha ya hayo majeruhi unayoyaongelea huyo bwana hajawahi kuanzia benchi.

Wachezaji wanaofanyiwa rotation ni mainoo, eriksen before injury na amrabat.

Imefikia hatua Scott anachezeshwa AM, kipara anatoa mhanga vipaji vya wengine kwa ajili yake.
Mkuu habari yako....mimi naswali hivi unaona kipara tutafika nae nchi ya ahadi?? Je unaona majeruhi na kukosa ubora ni chanzo cha sisi kuwa wabovu namna hii??..

Je kipara ni mtu sahihi??

Wasalam
 
Mimi kazi yangu yakuwaambia ukweli kuhusu 7hag nilishaimalizaga

Kwasasa nakula popcorn tu
UTD ina Changamoto nyingi sana kabla ya Kumfikia Mwalimu! Kumeshakuwa na Kila aina ya Mwalimu kuanzia anayeanza safari ya Ualimu mpaka waloshinda kila kitu. Uongozi umekwamisha Mambo mengi na ukitaka Jua hayo niletee timu yeyote inafanya POA huku ikiwa na Changamoto katika Muundo wa UONGOZI.

EMERY anamzidi ARTETA kila kitu mpaka Hata Namba zake akifananishwa kwa Muda wa miezi 18 Alokuwa nao sawa na ARTETA anamzidi kila kitu.

Ulidai EMERY ni Mwalimu mbovu kuliko wote waliowahi Pita ARSENAL. Wewe umemwona Mwalimu Yupi wa kudumu Arsenal nje ya WENGER tangu Uanze ushabiki wa Mpira?
Nilikwambia Ukija na TAKWIMU Zako za Ubaya EMERY unitag we na Mwenzako lembu ni WIKI karibu ya Pili Mmekaa Kimya.
 
Na mambo mengi ,sikupata muda

Emery kwanza kabisa Ni kocha ambaye Ni mweupe kwenye Talent ID ,Emery na Erik 7 hag hawana tofauti kubwa hata aina ya mpira wao

Ndani ya miezi 18 Emery alitumia £200m za usajili ,timu haikuwahi kuonesha mwanga au progress , Kama unavyoona man u ndivyo Arsenal ilikuwa hivi hivi

Mpira una parameters nyingi Sana ukitaka ku analyze ,takwimu za Emery za awali ,Hadi timu inavyopata matokeo nakumbuka vzr Sana,, alikuwa Kama anabahatisha tu , Hana tofauti kabisa na ERIK 7HAG

Binafsi nilimkataa Emery mwanzon kabisa baada yakuona jinsi timu inavyocheza ,

Alipofika Arsenal alimkuta DoF anaitwa Sven mislitant kutoka BVB aliyekuwa amewaleta kina Auba ,Leno, N.k yeye alimtaka Monchi ,klabu ikamkatalia maana miezi 6 nyuma imetoka kuajili DoF ambaye alikuwa ameleta vipaji vingi BVB.

Emery hakuwahi kuwa na mfumo mmoja ,alikuwa kila mechi ana mfumo wake , alitumia mifumo yote unayoijua 4-4-2,4-3-3,3-4-3,4-2-3-1,

Ndio maana nasema Hana tofauti kabisa na Erik 7 hag,

Uchezaji wa Arsenal ulikuwa Kama huu wa man u

Mimi binafsi nikimkataa Erik 7 hag humu humu kwa Mara ya kwanza mwaka Jana mechi man u vs Arsenal pale OT mnashinda 3-1 ,Kama mfatiliaji humu utakuwa unaelewa upinzani uliokuwepo humu kuhusu 7hag

Emery alikuwa anachezesha double pivot ya Xhaka Guendoz,worst pivot ambayo timu ilikuwa inafanyiwa shambolic ,

Arsenal kupigiwa shots 30 na kina Everton ,Watford ,ilikuwa kawaida ,the same kinachotokea kwa man u ya 7hag

Kwenye upande wa Talent ID hapa alikuwa poor Sana , kwanza alitaka amtoe Saka +£40m kwa Palace ampate Wilfred zaha

Kabla sijaendelea ,nasubiri maswali yako
 
Emery hakuwahi kuwa na mfumo mmoja ,alikuwa kila mechi ana mfumo wake , alitumia mifumo yote unayoijua 4-4-2,4-3-3,3-4-3,4-2-3-1
Una Chuki na EMERY, nambie ARTETA lini kashawahi kuwa na Mfumo mmoja kwa kipindi cha Misimu 3 ya kwanza.
ARTETA ndo Huyu alikuwa anaitwa BUSTETA kwa kucheza na Mabeki 5, na alikuwa anamtumia SAKA kama Wingback na alikuwa anataka Muuza mpaka Klopp alikuwa Moja ya watu walomtaka.

Alipofika Arsenal alimkuta DoF anaitwa Sven mislitant kutoka BVB

Hamisi Mbona UNAONGOPA ndugu yangu?? ARSENAL ya WENGER ilikataaga Nafasi ya Mkurugenzi wa Michezo "DOF" na WENGER alipendekezewa Jina la GAZIDIS akamkataa MICHAEL ZORC, na Hamjawahi kuwa na Wachezaji hao wazuri unaosema. SVEN alikuwa ni "HEAD OF SCOUTING" Arsenal wewe unatuambia ni DIRECTOR OF FOOTBALL" Wa ARSENAL ipi Hiyo?

Kwenye upande wa Talent ID hapa alikuwa poor Sana
Yani EMERY NI POOR Kwenye TALENT ID! Naweza ingia Imani hili neno unapenda litumia lakini Labda unalielewa Tofauti. EMERY ndo Mwalimu aliemsajili SALIBA, LENO , TIERNEY, CEBALLOS, MARTINELLI, ambao alikuwa anaanza tengeneza timu. Amemtoa SAKA, SMITH ROWE academy. Nitajie Jina moja mpo nalo kwenye KIKOSI Chenu cha kwanza ARTETA amemtoa ACADEMY, Kingine nitajie Mchezaji ARTETA kamsajili hana Jina kamfanya kuwa WORLD CLASS.

Najua Wengi wenu Mliitelekeza ARSENAL, Nikwambie tu Sajili ya PEPE ni ya Bodi yenu sababu za Kibiashara ila EMERY alimtaka ZAHA. Kuuzwa kwa SAKA ilikuwa ishu ya BODI na masuala ya mkataba.
 
Huyo hamis ni cha-goat tapeli
 
Niwarekebishe hapo. hamis77 na El Tiger

Arsenal haijawahi kumtaka Zaha tangu Zaha alivyochagua kwenda United akaikataa Arsenal.

Akaflop kisha akaenda Palace. Tangu hapo, Zaha akawa anatamani kuja Arsenal ila Arsenal haikuwahi kumuentertain tena.

Ilifikia hatua Zaha anapost Insta kwamba anataka kuja Arsenal ila Arsenal haikukubali kumrudia. Kiutamaduni kuna timu mbili mchezaji akiringa na kuondoka hua ndiyo basi tena, Arsenal na Liver ndiyo hizo timu.

Kutokana na hilo hakuna namna Arsenal tulitaka kutoa hela na Saka kwaajili ya Zaha. Fabregas alienda Barca kwa mbwembwe ila hakurudia Arsenal, same na Song. Angalia Aouar alichotufanyia na msimu uliofuata dau lilishuka ila Arsenal hatukurudi tena, angalia Vlahovic sasa hivi n.k.
 
Arsenal haijawahi kumtaka Zaha tangu Zaha alivyochagua kwenda United akaikataa Arsenal
ARSENAL Haikumtaka ZAHA ila Mwalimu EMERY ndo alikuwa anamtaka ZAHA ila Bodi ya ARSENAL Ikasema PEPE atakuwa na thamani zaidi kwenda Mbele, EMERY Alikuwa anaamini ZAHA ni EPL Proven na angeongeza Nguvu kwenda Mbele.

Suala la Kusema Kutoa Pesa na ZAHA, hamis77 ndo kalileta Mimi sikuwahi sikia Popote.
Vlahovic hakukataa ARSENAL na Sijajua Kama umemzungumzia kuhusu Kuporomoka Ama la, Angalia tena game za JUVENTUS, kwa sasa ile thamani Imepanda na kwanza ndo Mchezaji alochangia Magoli mengi kwao msimu huu na wanagombea Ubingwa.

ARSENAL thamani ilikuwa chini kiuhalisia na ndo Mana hata wachezaji kuwauza ama kuwanunua wa thamani haikuwa ikiweza.
Fabregas kwenda Barca alienda na kushinda kila kitu na hata kwenda Chelsea kapata mafanikio Makubwa tu. Wachezaji wanarudi tu kwa Mapenzi, Henry alirudi na alienda Barca kwa dau sawa na Bure.
 
Back
Top Bottom