Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ARSENAL Haikumtaka ZAHA ila Mwalimu EMERY ndo alikuwa anamtaka ZAHA ila Bodi ya ARSENAL Ikasema PEPE atakuwa na thamani zaidi kwenda Mbele, EMERY Alikuwa anaamini ZAHA ni EPL Proven na angeongeza Nguvu kwenda Mbele.

Suala la Kusema Kutoa Pesa na ZAHA, hamis77 ndo kalileta Mimi sikuwahi sikia Popote.
Vlahovic hakukataa ARSENAL na Sijajua Kama umemzungumzia kuhusu Kuporomoka Ama la, Angalia tena game za JUVENTUS, kwa sasa ile thamani Imepanda na kwanza ndo Mchezaji alochangia Magoli mengi kwao msimu huu na wanagombea Ubingwa.

ARSENAL thamani ilikuwa chini kiuhalisia na ndo Mana hata wachezaji kuwauza ama kuwanunua wa thamani haikuwa ikiweza.
Fabregas kwenda Barca alienda na kushinda kila kitu na hata kwenda Chelsea kapata mafanikio Makubwa tu. Wachezaji wanarudi tu kwa Mapenzi, Henry alirudi na alienda Barca kwa dau sawa na Bure.
Point yangu ni kwamba mchezaji akigoma mara ya kwanza na aliondoka/ aligoma kwa mtindo ambao hauridhishi Arsenal haijawahi kumtaka tena.

Cesc aliondoka kwa kujilipia 5M ya juu ambayo Barca walisema hawana. Hakuna namna angetaka kurudi angekubaliwa, ingawa alitaka

Sanchez aliondoka muda timu inamuhitaji, lakini akawa kashaua ties na Arsenal muda tungeweza mchukua kwa mkopo. Same na Gnabry.

Henry kwa Arsenal ni Legend
 
Chelsea ni vilaza lakini wamechangamka, kwa sasa wanasumbuliwa na laana ambayo inaweza kutibika ndani ya muda mfupi.

Hii timu wampe mourinho kwa misimu miwili then wamfukuze.

Wolves 1 - chelsea 0.
Dakika ya 77
 
Ilifikia kipindi ilibidi niangalie utaifa wa yule kocha wa Wolves. Wanacheza mpira mzuri kuliko baadhi ya timu ambazo zipo juu yao.

Kama Burnley tu
 
Una Chuki na EMERY, nambie ARTETA lini kashawahi kuwa na Mfumo mmoja kwa kipindi cha Misimu 3 ya kwanza.
ARTETA ndo Huyu alikuwa anaitwa BUSTETA kwa kucheza na Mabeki 5, na alikuwa anamtumia SAKA kama Wingback na alikuwa anataka Muuza mpaka Klopp alikuwa Moja ya watu walomtaka.

Huu Ni uongo mkubwa
 
Source 1
Man city vs liverpool
Man city vs arsenal
Arsenal vs liverpool

Source 2
spurs vs liverpool
Spurs vs arsenal
Spurs vs man city

Afadhali mechi nzuri na bora za kufuatilia ndani ya PREMIER LEAGUE zimeongezeka tofauti na miaka mitatu nyuma.

Nimeangalia marejeo ya mechi ya jana ya liverpool wala sijajutia muda wangu.

Kuna kubwa jinga la zamani likicheza dhidi ya hizo timu anafika kwenye boksi la adui mara 10 kwa dakika 70 hadi 90.
 
Una Chuki na EMERY, nambie ARTETA lini kashawahi kuwa na Mfumo mmoja kwa kipindi cha Misimu 3 ya kwanza.
ARTETA ndo Huyu alikuwa anaitwa BUSTETA kwa kucheza na Mabeki 5, na alikuwa anamtumia SAKA kama Wingback na alikuwa anataka Muuza mpaka Klopp alikuwa Moja ya watu walomtaka.

Hamisi Mbona UNAONGOPA ndugu yangu?? ARSENAL ya WENGER ilikataaga Nafasi ya Mkurugenzi wa Michezo "DOF" na WENGER alipendekezewa Jina la GAZIDIS akamkataa MICHAEL ZORC, na Hamjawahi kuwa na Wachezaji hao wazuri unaosema. SVEN alikuwa ni "HEAD OF SCOUTING" Arsenal wewe unatuambia ni DIRECTOR OF FOOTBALL" Wa ARSENAL ipi Hiyo?

Yani EMERY NI POOR Kwenye TALENT ID! Naweza ingia Imani hili neno unapenda litumia lakini Labda unalielewa Tofauti. EMERY ndo Mwalimu aliemsajili SALIBA, LENO , TIERNEY, CEBALLOS, MARTINELLI, ambao alikuwa anaanza tengeneza timu. Amemtoa SAKA, SMITH ROWE academy. Nitajie Jina moja mpo nalo kwenye KIKOSI Chenu cha kwanza ARTETA amemtoa ACADEMY, Kingine nitajie Mchezaji ARTETA kamsajili hana Jina kamfanya kuwa WORLD CLASS.

Najua Wengi wenu Mliitelekeza ARSENAL, Nikwambie tu Sajili ya PEPE ni ya Bodi yenu sababu za Kibiashara ila EMERY alimtaka ZAHA. Kuuzwa kwa SAKA ilikuwa ishu ya BODI na masuala ya mkataba.

Mbona umeongea mambo mengi ya uongo

Arteta ametumia mifumo mitatu toka aje Arsenal ,3-4-3 ,4-2-3-1 na 4-3-3 mpaka Sasa

Sven misiltant alikuwa head of scouting Lakini majukumu yake mengine yalikuwa Kama Director of football

Unadanganya Arteta alitaka kumuuza Saka ,huu Ni uongo mkubwa

Uongo mwingine mkubwa ,Saliba ,Leno ,Toreira ,Ceballos , Tierney , Sio sajili za Emery , Emery alikuwa head coach tu

Ndio maana hata hizo Sajili bado alikataa kuwatumia mchezaji Kama Toreira ,Ceballos , hata Pepe baadae alianza kumpiga bench sababu chaguo lake alikuwa Zaha,

Emery hakuwa kufanya sajili yoyote hapo Arsenal,ukitaka ushahidi wa kila sajili unazodanganya hapo juu nitaweka ,Saliba, Martinelli ,Ni sajili za Fransis Cagigao ,Leno, Toreira,Auba,Guendoz ,Tierney Ni sajili za Sven misiltant

Emery hakuwahi kusajili mchezaji yeyote hapo Arsenal narudia Tena huu Ni UONGO MKUBWA.

EMERY alimtaka Zaha ,bodi ikagoma ,Emery alikuwa tayari kumtoa Saka plus £40m bodi ikazuia

Nakupa na hii Emery huyo huyo alikuwa tayari kumtoa Smith Rowe plus £25m ampate Upamecano aliyekuwa Leipzig kipindi Smith yupo Leipzig kwa mkopo

Sijui unanielewa

Emery amewatumia Saka Kama beki ,martinell Kama CF, Tena hawazidi hata mechi 5 ,

Arteta ndiye aliyekuja akawaamini na kuwapa namba 7,10 na 11

Akamtoa Saka Kama LB kwenda LW ,LW ,LCM had RW

Arteta ndiye kamfanya Saka ,martinell kuwa moja ya mawinga Bora duniani

Narudia Tena Sajili za Saliba ,Martinelli Ni za Francis Cagigao ,Emery aliwataka kina Nzonzi ,kutoka Sevilla

Nakusubiri uje na uongo mwingine ,mm na ushahidi mwingi Sana
 
Una Chuki na EMERY, nambie ARTETA lini kashawahi kuwa na Mfumo mmoja kwa kipindi cha Misimu 3 ya kwanza.
ARTETA ndo Huyu alikuwa anaitwa BUSTETA kwa kucheza na Mabeki 5, na alikuwa anamtumia SAKA kama Wingback na alikuwa anataka Muuza mpaka Klopp alikuwa Moja ya watu walomtaka.

Hamisi Mbona UNAONGOPA ndugu yangu?? ARSENAL ya WENGER ilikataaga Nafasi ya Mkurugenzi wa Michezo "DOF" na WENGER alipendekezewa Jina la GAZIDIS akamkataa MICHAEL ZORC, na Hamjawahi kuwa na Wachezaji hao wazuri unaosema. SVEN alikuwa ni "HEAD OF SCOUTING" Arsenal wewe unatuambia ni DIRECTOR OF FOOTBALL" Wa ARSENAL ipi Hiyo?

Yani EMERY NI POOR Kwenye TALENT ID! Naweza ingia Imani hili neno unapenda litumia lakini Labda unalielewa Tofauti. EMERY ndo Mwalimu aliemsajili SALIBA, LENO , TIERNEY, CEBALLOS, MARTINELLI, ambao alikuwa anaanza tengeneza timu. Amemtoa SAKA, SMITH ROWE academy. Nitajie Jina moja mpo nalo kwenye KIKOSI Chenu cha kwanza ARTETA amemtoa ACADEMY, Kingine nitajie Mchezaji ARTETA kamsajili hana Jina kamfanya kuwa WORLD CLASS.

Najua Wengi wenu Mliitelekeza ARSENAL, Nikwambie tu Sajili ya PEPE ni ya Bodi yenu sababu za Kibiashara ila EMERY alimtaka ZAHA. Kuuzwa kwa SAKA ilikuwa ishu ya BODI na masuala ya mkataba.
Mimi ni shabiki wa Arsenal ila nakuunga mkono kwenye mambo mengi uliyoandika hapa.
 
Screenshot_20231224-200005.png
 
Kwenye Talent ID Emery Ni poor ndio maana unaongea vitu usivyojua

Saliba ,Martinelli , saka ,Smith Rowe sio sajili za EMERY ,

Fransis Cagigao Ni scout wa Arsenal kwa miaka zaidi ya 20 ,ndiye aliwaskauti kina fabregas ,Reyes ,Lauren, N.k

Ndiye alimtumia fabregas akiwa Monaco kumuangalia Saliba

Huyu skaut ndiye alimskauti Martinelli Brazil wakisaidiana na Edu aliyekuwa national team ya Brazil ,hapo Emery Ni head coach na hajui lolote

Huyu Cagigao ndiye aliacha report asajiliwe Thomas Partey ,kabla hata Arteta hajaja,

Arteta ndiye aliyekuja akawaamini hao vijana na kuwapa namba iconic 7,10,11

Akamsajili na Ødegaard aliyekuwa anaonekana flop Madrid akampa no. 8

Saka chini ya Emery katumika Beki na LW mechi hazifiki 5 ,hajawi kuwa RW

Ni Arteta ndiye alimbadilisha kutoka LB kuwa RW bora duniani

Unauliza kabisa wachezaji gani Arteta kawafanya world class

Ngoja nikupe somo

Saka kutoka mchezaji wa academy Hadi kuwa world class kwasasa ana value ya €195m

Ødegaard kutoka Madrid flop had kuwa world class

Martinelli huwez kutaja mawinga Bora EPL Usimuweke ,nitakupa na data

Saliba unayedai alisajiliwa na Emery wakati uongo ,huyu Ni world class CB ,hajawahi hata kucheza kwa Emery ,hii Ni sajili ya bodi

Na kwakukusaidia tu ,Arteta ametumia around €500m hivi kutengeneza timu ambayo thaman yake Ni around €1B

Maana yake wachezaji wame improve na kupanda thamani zao

Arsenal ya Arteta Ni ya 2 duniani kwa Most valuable squad

Screenshot_20231224-194943_1.jpg
images%20(7).jpg
download%20(8).jpg
Screenshot_20231224-183758_1.jpg
20231224_182049.jpg
20231219_201356.jpg
 
Timu Haiezi fanya Poa kama Ina Muundo Wa Uongozi Upo usoeleweka Juu, EMERY ARSENAL na wanakwambia ni Mwalimu mbovu kuwahi tokea, Alihitaji msaidizi wakamnyima ARTETA ana Mwaka wa 5 na Kombe 1 sasa sijui Ndo maana ya Mafanikio kwao ama la.

Walimu wa zamani walikuwa wanaamini Mtendaji Mkuu anatosha na ulikuwa ukipata Mtendaji Mzuri ndo Umeula. Mourinho Moja ya sajili Bora anajinasibu akiwa Chelsea ni PETER KENYON toka UTD, huyu jamaa FERGIE Ilimuuma sana ila akaenda na GILL na wakawa na Maelewano mazuri sana. WENGER mtu wake alikuwa IVAN GAZIDIS.

MAJUKUMU Yote alikuwa anaamua Mwalimu na Ndo maana EPL wana MANAGERS, hata ARTETA Kuja ARSENAL Hakuwa MANAGER alianza kama HEAD COACH.
ARTETA aliaminiwa akapewa EDU, Lakini walishindwa Mpa EMERY mtu wake wa kazi Monchi, leo wanakwambia ALIFELI Arsenal!
Niliwaambia NASUBIRI Takwimu za KUFELI Kwake Tukiwalinganisha na ARTETA na Bado NAZISUBIRI.
Mbona bado unadanganya ,Emery alifanya kazi na Edu na hawakuendana kabisa kiamono

Edu kafanya kazi na Emery labda Kama hujui

Na Edu amezungumza mara nyingi Sana ,Emery hakuwa anafaa

Arsenal ndani ya miezi 6 imetoka kumuajili Sven misiltant na Edu ,Emery akamtaka aletewe na Monchi

Huo ujinga klabu ilikataa ,

Emery alifeli Arsenal vibaya Sana timu ilikuwa na mifumo isiyoeleweka ,mpira wa ovyo

Arsenal ilikuwa na wastan waku face shots 16 per game

Mpaka anaondoka hakuwahi kuwa na First eleven au kujulikana alikuwa anatumia mfumo gani

Kama unaujua utaje hapa nitakuletea list ya alitumia mifumo mingapi

download%20(9).jpg
 
Back
Top Bottom