hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,510
Nimemaliza ,kama huelewi ,sina msaada zaidi ya hapoHujajibu chochote Nilichouliza Ila kwa Heshima Wadau wameomba tuhamishie Mjadala Jukwaa la ARSENAL unitag ukiwa na Majibu.
Nimemaliza ,kama huelewi ,sina msaada zaidi ya hapoHujajibu chochote Nilichouliza Ila kwa Heshima Wadau wameomba tuhamishie Mjadala Jukwaa la ARSENAL unitag ukiwa na Majibu.
Thiago motta, sikuwahi kuchoka kumtizama akicheza mpira.. Kwangu alikuwa fundi haswaaUlishawahi kuwafuatilia Bologna ya Tiago Motta?
[emoji16][emoji16] wanazani ni kumwaga hela tu mzeeUmewahi kusikia kuhusu FFP?
Ishu sio Suala la Muda tu Jamaa. Lazima kuwe na Watu sahihi wa Mpira.Man u wangempa sapoti na muda Ole gunar Kama anayopewa ETH ,Man u ingekuwa mbali
Wewe huna kocha sikiliza unalo ambiwa...Ishu io Suala la Muda tu Jamaa. Lazima kuwe na Watu sahihi wa Mpira.
Kuanzia MOYES Mpaka ETH watoa Maamuzi wengi UTD wamekuwa kama Soka la Bongo. Huyu STEWART Hundi zinapita kwao, Unategemea nini na hakuna anayefahamu masuala ya Kimichezo?
ETH Mafanikio yake AJAX ni Muundo, CEO EDWIN, D.O.F MARC na ARSENAL Kabla ya Kumuamini EDU naye alikua moja ya Majina tajwa ya Nafasi Hiyo, Kinarahisisha hata Utendaji kazi Ushahidi Juu ya Hilo tizama timu Ilipo sasa AJAX. PEP kuna wachezaji Ripoti zinapitiwa na TXIKI na SORRIANO anakuja Pitisha tu maana wanazungumza lugha 1.
UTD Hata Iwe na Pep kama Coach wa MD, KLOPP awe Coach wa Wings, Mou awe Wa DF, Kwa Muundo uliopo sasa wa Kina Murtough, Fletcher ambae kazi yake haijulikani, Stewart na Genge lao, mafanikio sio Leo wala kesho. {HAKUNA MWALIMU YEYOTE ANAYEWEZA FAULU}
Mwalimu wako ana mafanikio yapi ndani ya Kipindi cha miaka 5 ambayo Yupo na Nyie?Wewe huna kocha sikiliza unalo ambiwa...
Body ina makosa sawa, ila wamiliki wanamwaga pesa sio poa.
refer,
Antony aka masebene[emoji28] pesa mingi san glazzers wame mwaga ila amna kitu pale
Casimiro huyu babu et mlitoa hela yote ile ( huyu alikua ni wa short time tu et mkatia 70 uko, ni hela zenu sawa ila mlipigwa.
Malacia injury prone afu badoo ajaonesha kitu ila anamatumaini.
Ni mengi sana mazuri ya glazzers kuliko hata ayo mabaya.
Wachezaji wote walio takiwa na jasusi alipewa,,Kama alichaguliwa basi ni mja au wawili tu.
Best sign ya jasusi ni lisandro Martinez sema Hana bahati ili jeraha alilo pata lina mnyima kwa sana posho.
Note: kila timu inapigwa hakuna timu isiyo pigwa na body sijui management, ila kuna namna tu zingine timu zinapigwa kibongo bongo yani,
kama amna bisha uliza chelkenge fc.
I hate red devil's[emoji84]
Mwalimu wako ana mafanikio yapi ndani ya Kipindi cha miaka 5 ambayo Yupo na Nyie?
Ushasema unaichukia UTD, kwa hiyo Unatoa maoni kwa hisia zaidi.
HOWE alikuwa na Project Nzuri Bournemouth lakini Bodi ilimkwamisha akaishusha timu Daraja, Leo bodi yake timu Nyingine inaeleweka kawapeleka mpaka UCL. Arsenal mmeanza ona Njia baada ya Msimu wa 3 wa Mwalimu wenu na kuanza fanya kazi na Director of Football.
Ambacho nadhani hujafatilia ni kuhusu Sajili. ETH hajafika UTD alishatuma aina ya sajili anataka. Martinez umemsema ila ilitokea tu maana yeye alihitajiwa na Arsenal ila akamtafuta ETH kama atamhitaji. Murtough alikwamisha usajili wa Jude, Haaland, Hojlund, Enzo, Alvarez, Diaz, Caicedo, Palacio n.k.
Antony alikuwa amethaminishwa 25m na Skauti ya UTD. Kipindi cha ETH Jamaa kawatafuta Ajax mwenyewe kawaambia hawalipi zaidi ya 60. Edwin akafanya kama kuwa-challenge, waliishia toa 80m+ sababu hakukuwa na Plan B. ETH sajili alitaka ST, LCB, CM na alimtaka KANE kama chaguo la kwanza ila menejimenti ya Kimchongo ya UTD iligoma fanya yote hayo ikaishia fanya sajili za Kupaniki.
Hiyo ni Sehemu ya Tatizo. Mashabiki masuala ya Kifedha huwa hayawahusu sana, wanachohitaji ni Mafanikio Uwanjani. Huwezi yapata haya kama Huna watu wanaorahisisha kazi ya Mwalimu Uwanjani na Hawa ni Watoa Maamuzi ya Kimichezo. {Mtizame KLOPP kama wamekuwa sawa tangu aondoke Edwards}So tatizo ni management ya usajili?
Ina maana hapa wachezaji wana nguvu kuliko kochaWachezaji hawamtaki kocha.
Means glazers bado wapo sanaRatclife kafanikiwa kununua 25% alizotaka.
Murtough ndiye mharibifu wa hii timu.
Na bado hana mpango wa kutaka kuondoka United
mwarabu apewe timu kwa kipi?Kuna mtu anaweza nipa sababu za mwarabu kunyimwa timu........
Kwa icho icho alichopewa jimmwarabu apewe timu kwa kipi?
Mbn mmeongea vizuri mmeshindwa kueleweshana mwishoni. Ukiiangalia structure ya arsenal pre arteta ilikuwa hivi,Nimemaliza ,kama huelewi ,sina msaada zaidi ya hapo
Uzuri 25% za yule ineos boss wameamua kumwachia adeal na mambo ya football operations. So huenda mambo yakaenda vizuri mkapata a proper, small circle of people who mean business, and by business, yaani ni watu wa soka.Ishu sio Suala la Muda tu Jamaa. Lazima kuwe na Watu sahihi wa Mpira.
Kuanzia MOYES Mpaka ETH watoa Maamuzi wengi UTD wamekuwa kama Soka la Bongo. Huyu STEWART Hundi zinapita kwao, Unategemea nini na hakuna anayefahamu masuala ya Kimichezo?
ETH Mafanikio yake AJAX ni Muundo, CEO EDWIN, D.O.F MARC na ARSENAL Kabla ya Kumuamini EDU naye alikua moja ya Majina tajwa ya Nafasi Hiyo, Kinarahisisha hata Utendaji kazi Ushahidi Juu ya Hilo tizama timu Ilipo sasa AJAX. PEP kuna wachezaji Ripoti zinapitiwa na TXIKI na SORRIANO anakuja Pitisha tu maana wanazungumza lugha 1.
UTD Hata Iwe na Pep kama Coach wa MD, KLOPP awe Coach wa Wings, Mou awe Wa DF, Kwa Muundo uliopo sasa wa Kina Murtough, Fletcher ambae kazi yake haijulikani, Stewart na Genge lao, mafanikio sio Leo wala kesho. {HAKUNA MWALIMU YEYOTE ANAYEWEZA FAULU}
Kuna mtu anaweza nipa sababu za mwarabu kunyimwa timu........