Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Westham vs nyumbu

Nyumbu Leo mnaingia uwanjani Kama underdog, ukibisha kaangalie betting wameweka vipi odd
Msiba inabidi usafirishwe, ila Kauli za wanandugu wanasema ata mkizika huko huko haina shida
 
Ninyi Kenge hamkeni ,mna raha gani ninyi ?
Kiwanda cha kugawa points ,
Pumbafu
Hiyo old Trafford Bora mfugie nguruwe tu
 
Jasusi likiwa kwenye moja na mbili
20231223_184809.jpg
 
Scouts wa Ole walileta ripoti kwamba Antony thamani yake ni 25M.

Kisha wakapeleka taarifa kwa wakala wake kwamba hawatolipa zaidi ya 60M.

Akaja Erik Kichwa ngumu. Akafosi kikosi kiongezwe na anamtaka Antony, hiyo ni kuelekea dirisha kufungwa.

Wakatoa 95M (Guaranteed) na 5M (add ons)

Erik alisema asingekubali kazi ya Unyumbuni kama asingeachiwa kucontrol usajili. Nasikia analalamika Amrabat haendani na mfumo.

Hebu tafuta usajili wa Erik ambao umeleta matunda
 
Hao walio sub woteee wanatakiwa wasiwepo Manchester
Rashford na Bayindir wanastahili kubaki. Rashford uzawa unambeba kukamilisha idadi ya wazawa kwenye kikosi, pia quality yake kama squad player ni nzuri.

Ila lazima timu ipate LW wa uhakika Chidi siyo wa kumuamini kabisa.
 
Back
Top Bottom