ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,581
- 24,486
Kwa icho icho alichopewa jimmwarabu apewe timu kwa kipi?
Kwa icho icho alichopewa jimmwarabu apewe timu kwa kipi?
Mbn mmeongea vizuri mmeshindwa kueleweshana mwishoni. Ukiiangalia structure ya arsenal pre arteta ilikuwa hivi,Nimemaliza ,kama huelewi ,sina msaada zaidi ya hapo
Uzuri 25% za yule ineos boss wameamua kumwachia adeal na mambo ya football operations. So huenda mambo yakaenda vizuri mkapata a proper, small circle of people who mean business, and by business, yaani ni watu wa soka.Ishu sio Suala la Muda tu Jamaa. Lazima kuwe na Watu sahihi wa Mpira.
Kuanzia MOYES Mpaka ETH watoa Maamuzi wengi UTD wamekuwa kama Soka la Bongo. Huyu STEWART Hundi zinapita kwao, Unategemea nini na hakuna anayefahamu masuala ya Kimichezo?
ETH Mafanikio yake AJAX ni Muundo, CEO EDWIN, D.O.F MARC na ARSENAL Kabla ya Kumuamini EDU naye alikua moja ya Majina tajwa ya Nafasi Hiyo, Kinarahisisha hata Utendaji kazi Ushahidi Juu ya Hilo tizama timu Ilipo sasa AJAX. PEP kuna wachezaji Ripoti zinapitiwa na TXIKI na SORRIANO anakuja Pitisha tu maana wanazungumza lugha 1.
UTD Hata Iwe na Pep kama Coach wa MD, KLOPP awe Coach wa Wings, Mou awe Wa DF, Kwa Muundo uliopo sasa wa Kina Murtough, Fletcher ambae kazi yake haijulikani, Stewart na Genge lao, mafanikio sio Leo wala kesho. {HAKUNA MWALIMU YEYOTE ANAYEWEZA FAULU}
Kuna mtu anaweza nipa sababu za mwarabu kunyimwa timu........
waarabu n oil moneyKwa icho icho alichopewa jim
Kwa iyo nuksi glazers bado wapo sana au ndio wanasepa mazimawaarabu n oil money
sana wapo wana asilimia 75Kwa iyo nuksi glazers bado wapo sana au ndio wanasepa mazima
sawa atita mikeliSir Jim carrying Manjesta utdView attachment 2853383
Manunu anashinda....nimewaangalia Villa wanakuzwa tu lakini hamna timu ya kutisha kabisa....mkiwasimanga kama mlivyowasimanga Chelkenge siku ile mnashinda kiwepesi kabisaGame ambayo ni point 3 za bure kwa Villa
Unai last season alipopewa tu timu akatuweka 4+ Villa park tukaja kumuotea 4-2 OT...Sasa naleo nahuu ubovu wetu tutakula 3-0 kiroho safi tunarudi nafasi ya 10 na pwenti zetu 29
Tutamchukua aje kuwa mfua jezi za kina Saka....tuna nafasi nyingi za kazi pale klabuniSir Jim bosi mpya
Inabidi amuuze Antony kwenda arsenal
Sir Jim bosi mpya
Inabidi amuuze Antony kwenda arsenal
we jamaaa asenyo hawana kibunda saivWakuu mjue wengi wetu tunakosa utamu wa majukwaa ya hizi team zetu pendwa kwa sababu za kijinga ambazo Boss Maxence Melo ameshindwa kuzitatua karibia mwezi wa 7 sasaUmewahi kusikia kuhusu FFP?