Unawezaje Mhukumu EMERY Kwa Msimu mmoja na Nusu dhidi ya Mtu aliye na Misimu 5!? Kingine umezungumza Kuhusu IDENTITY lakini Umekwepa Hoja yangu Juu pale Kuhusu EMERY kufanya kazi bila Mtendaji wa Michezo.
IDENTITY ni Ipi unaisemea wewe na Misimu karibu Miwili ARTETA Kacheza na Beki watano? Kitu Kimoja kinachomfanya ARTETA Kuyajenga yote hayo ni watu kutokuwa na Mategemeo naye makubwa na kuwa na Uongozi wenye Malengo sawa hasa Kumpa EDU, EMERY sajili zake asilimia kubwa zilikuwa ni Ripoti ya Mkuu wenu wa Scouting na yeye ilikuwa kupitisha tu, Targets zake nyingi hajapata sababu ya kutokuwa na Mtu wa Kumsaidia kama ARTETA na EDU.
SALIBA alikuwa anatakiwa na UTD, BVB, SEVILLA, ROME, hili Dili EMERY alilifanya na Yeye ndo alietaka kuwepo na Kipengele cha yeye kubaki ST. ETIENNE, ARTETA hana say kwenye Hilo.
Mnasema Kuhusu TALENT ID, Mzee kuna mchezaji gani umenitajia hapo amekuja akiwa Unproven? ODE yupo na Miaka 15 Kila timu kubwa ilikuwa inamtaka, MADRID mwisho wa siku ikikuuza haina Uhitaji na wewe na hata Leo ODE hana namba kwenye MD ya Madrid.
KIZURI UMEKUWA NA KAULI NZURI KWAMBA EMERY HAKUWA MBAYA, ILA ARTETA UME-OVERRATE MENGI, EMERY Ni Mwalimu haswa Hakuaminiwa na Kupata Muda wa kutosha ARSENAL na kuwa na watu sahihi.
Bado narudia unadanganya Tena Sana
Emery amefanya kazi na huyo huyo Edu na hawakuendana ,nimekupa takwimu unasema za magazeti
Majukumu ya Edu yalikuwa hayo hayo aliyofanya na Emery
Kwanza kubali umedanganya Emery hakuwasajili Saliba, Martinelli,hata Pepe
Nimekupa Hadi aliowasajili Ni Fransis Cagigao
Unasema Øde hapati namba Madrid hii ?
Unatumia ubongo kweli ?
Ødegaard alishakuwa flop Madrid ndio maana aliuzwa €30m kwasasa Hana tjaman hiyo ,nimekuwekea na Value ya transfermarket ,
Kwenye wachezaji 20 most valuable duniani Øde humkosi ,10 most valuable EPL humkosi
Midfield hii ya Madrid wanacheza Hadi kina Ceballos , thaman ya Øde sokon Ni €100m
Unadhani kwa kiwango alicho nacho Sasa Madrid wangekuuzia €30m?[emoji1787][emoji1787]
Emery ndiye kocha wa ovyo kupita Arsenal
Emery anabaki kocha wa timu ndogo tu Kama alivyo Erik 7 hag
Arteta ndiye kamfanya saka kuwa moja ya RW Bora duniani , Martinelli moja ya LW Bora duniani
Ødegaard moja ya AM Bora duniani
Hata Declan Rice unayemuona anakiri game yake imekuwa developed under Arteta
William Saliba , Magalhaes,
Au unadhani hao wachezaji wa Arsenal wamekuja wakiwa vzr ,80% wamekuja wakawaida tu na wao wanakiri hivo ukitaka ushahidi nakupa
Emery Ni kocha wa timu ndogo, wachezaji wa PSG walimkataa , Wachezaji wa Arsenal akiwepo Ozil alisema kabisa EMERY sio kocha
Unasema mafanikio yake Ni kweli sababu hata kiumri Ni Rika la kina Pep ,klopp na ETH
EMERY kamfunga Pep kwa Mara ya kwanza ndani ya miaka 15