IMG_20231112_160819_769.jpg
 
Kusema kweli Rashford anatukaba sana ni vile tu mwalimu hana chaguzi za maana kwenye ile nafasi. Siku akijilipua akamwamini Amad,Pellistri au dogo mwingine tungeona tofauti kubwa sana kiuchezaji hasa katika idara ya ushambuliaji.
 
Tatizo la EtH sio kufungwa, ni namna timu inavyocheza.

Ukiangalia game inayoendelea ya Chelsea vs Man City utaona wazi kuwa Pochettino kuna process inaendelea kwa Chelsea.

Sioni Hilo kwa EtH.
That's true, poch kaifanya Chelsea inacheza vizuri hata kama matokeo ni changamoto. Siku tukienda darajani tutajua hatujui
 
Kuna wakati huwa nawaona wazungu nao ni kama wanabahatisha kwenye taaluma yao kiukweli utd sio mbovu kama watu wanavyodhani ila kuna wajinga wachache wapo kwenye hii timu wala hawajui wanachokitafuta. Kwa kiasi kikubwa ugonjwa wa timu yetu bado haujatibiwa na sijui ni kwanini makocha wote wameshindwa kubaini tatizo hasa la timu lipo wapi.

Kunaweza kuwa na matatizo mengine hasa ya menejimenti lakini tatizo letu kubwa hasa lipo kule mbele kwa winga na straiker zetu. Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kumuanzisha Rashford kila mechi wakati huyu hasa ndio kirusi cha timu kwa sasa ashukuriwe Mungu kwa sasa Martial aanzi why not Rashford?

Kila straiker anayekuja kucheza na huyu dogo lazima amfelishe kwa sababu ya ubinafsi wake tumeona hili kwa Igalo, Cavani, Lukaku na Ronaldo. Dogo ni mbinafsi na anaroho mbaya sijapata kuona. Sasa anakwenda kumfelisha Hodjlund. Haiwezekani timu kila mwaka inakuwa na goli difference negative au zisizozidi 15. Mwaka jana kipa bora kawa De gea lakini goli difference ni cha chache. Misimu karibu sita tunamaliza na vigoli vichache, hivi hawa wazungu waneshindwa kujua tatizo lipo wapi? Timu inahujumiwa na huyu Rashford atukatai kufungwa ila na sisi ingekuwa tunafunga goli nyingi tungekuwa kwenye nafasi nzuri. Tunaona City wanavyomtengenezea nafasi Haland huku kwetu Rashford anashindwa mtengenezea wenzake na akitengenezewa yeye hafungi. Yaani huwa na muangalia Ten hag huwa simmalizi sijui anashida gani huyu bwana na Rashfird wake.
 
Hapa Top 6 ni swala la muda tu Manjesta utd wampishe Newcastle huwezi kuja na GD -3 halafu uvimbe hapo ni swala la muda tuView attachment 2812629
Kila mwalimu na mbinu zake bana. Mbona huongelei Spurs mwenye GD 9 lakini yuko nafasi ya 4 wakati Newcastle ana yo 14?
Isitoshe Newcastle ana majeruhi wengi karibia hospital nzima hivyo naye simuoni akimaliza ligi kwa ubora aliokuwa nao siku aliyowafunga Arsenal 1-0.
 
Kuna wakati huwa nawaona wazungu nao ni kama wanabahatisha kwenye taaluma yao kiukweli utd sio mbovu kama watu wanavyodhani ila kuna wajinga wachache wapo kwenye hii timu wala hawajui wanachokitafuta. Kwa kiasi kikubwa ugonjwa wa timu yetu bado haujatibiwa na sijui ni kwanini makocha wote wameshindwa kubaini tatizo hasa la timu lipo wapi.

Kunaweza kuwa na matatizo mengine hasa ya menejimenti lakini tatizo letu kubwa hasa lipo kule mbele kwa winga na straiker zetu. Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kumuanzisha Rashford kila mechi wakati huyu hasa ndio kirusi cha timu kwa sasa ashukuriwe Mungu kwa sasa Martial aanzi why not Rashford?

Kila straiker anayekuja kucheza na huyu dogo lazima amfelishe kwa sababu ya ubinafsi wake tumeona hili kwa Igalo, Cavani, Lukaku na Ronaldo. Dogo ni mbinafsi na anaroho mbaya sijapata kuona. Sasa anakwenda kumfelisha Hodjlund. Haiwezekani timu kila mwaka inakuwa na goli difference negative au zisizozidi 15. Mwaka jana kipa bora kawa De gea lakini goli difference ni cha chache. Misimu karibu sita tunamaliza na vigoli vichache, hivi hawa wazungu waneshindwa kujua tatizo lipo wapi? Timu inahujumiwa na huyu Rashford atukatai kufungwa ila na sisi ingekuwa tunafunga goli nyingi tungekuwa kwenye nafasi nzuri. Tunaona City wanavyomtengenezea nafasi Haland huku kwetu Rashford anashindwa mtengenezea wenzake na akitengenezewa yeye hafungi. Yaani huwa na muangalia Ten hag huwa simmalizi sijui anashida gani huyu bwana na Rashfird wake.
Mkuu afadhali tumekuwa wengi tusiozubaishwa na form yake kubaini kuwa ndiye mchezaji anayetukaba eneo la ushambuliaji. Kwa makocha waliopita baada ya Fergie wote wameshindwa kumaliza tatizo la uchoyo kwa washambuliaji wake.
Sijui anacheza kikosi cha kwanza sababu ya shinikizo la wenye nchi au la,ila jamaa anatugharimu sana kwenye offensive and defense.
 
Back
Top Bottom