😃😃😃dunia ya EuropaSema sawa Mabingwa wa dunia
Bado hajapewa 25% akipewa tutarajie mabadilikoShida ya United haijawahi kuwa pesa. Uongozi ndiyo tatizo kubwa kwa kufanya maamuzi ya hovyo. Kidogo SJR anaonyesha kuwa na akili timamu.
Una habari mmeshika mkia UEFA kwenye kundi lenu?😃😃😃dunia ya Europa
Nanunua screenshot tukiwa wa tatu kwenye group😃😃😃Una habari mmeshika mkia UEFA kwenye kundi lenu?
Mtaitafuta Europa hamtaiona
Kila sehemu nyie ni fungu la kukosa.
7hag mi5 tena 😆
Endelea kununuaNanunua screenshot tukiwa wa tatu kwenye group😃😃😃
😃😃😃 Mawasiliano hapoEndelea kununua
Kipa wenu amelala makumbusho.
Kudaka siyo shida zake🤣
Hadi mseme
Walipewa kundi laini ,cha ajabu wanashika mkiaUna habari mmeshika mkia UEFA kwenye kundi lenu?
Mtaitafuta Europa hamtaiona
Kila sehemu nyie ni fungu la kukosa.
7hag mi5 tena [emoji38]
Kamuamsheni kwanza kipa wenu[emoji2][emoji2][emoji2] Mawasiliano hapo
Mpaka waseme UEFA walifikajeWalipewa kundi laini ,cha ajabu wanashika mkia
[emoji1787][emoji1787]Mpaka waseme UEFA walifikajeView attachment 2815067
TenHag ni tapeli[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Hii timu ina kocha na analipwa mshaharaTenHag ni tapeli[emoji23]View attachment 2815073
Rashid Mpemba yupo na OnanaHii timu ina kocha na analipwa mshaharaView attachment 2815075
Kundi unapewa Copenhagen wafuga ng'ombe wa Scandinavia huko, Galatasalay wacheza movies za kina ETUGLU ,unaburuza mkiaMbio za janjajanja huishia mkianiView attachment 2815101
Karibu tena ndugu yetu....hii United mpk ikuueShida ya United haijawahi kuwa pesa. Uongozi ndiyo tatizo kubwa kwa kufanya maamuzi ya hovyo. Kidogo SJR anaonyesha kuwa na akili timamu.
🤣🤣🤣Karibu tena ndugu yetu....hii United mpk ikuue