[emoji837]JE wajua Ten hag ndani ya miaka miwili amesajili washabuliaji wawili ambao ni Hojlund na Weghorst
Maajabu hawajawahi kufunga hata goli 1 EPL .?View attachment 2813811
HUYU hoj ni top scorer UEFAHoj wapo sawa na nkunkuView attachment 2813270
Huyu ndo walisema hatutaleta timu uwanjani 😂🙌Mnamkumbuka Weghorst striker la bolu aliekwenda kwa mkopo Manchester United kama mbadala wa Christian Ronaldo .[emoji23][emoji23][emoji23]
Akaondoka na goli 1 la deflection Carabao View attachment 2813745
ana kamomentum flani kazuri kule. Huenda akawaokoa maana pamoja na kuburuza kwenu mkia, group lenu liko open kwa no. 2-4. Lolote lawezekana.HUYU hoj ni top scorer UEFA
Mnafuraahi kuona hamchezi UEFA leo! [emoji23]
Tunajua nyumbu mnaburuza mkiaAsno unajua nn kuhusu UEFA kwendraaaa
Tunajua nyumbu mnaburuza mkia
Usilie basi 😀As if nyie mnao ongoza group ndo mnabeba Uefa Kumbe ndo tembo mtini siku zote
[emoji2][emoji2][emoji2] Tembo mtiniAs if nyie mnao ongoza group ndo mnabeba Uefa Kumbe ndo tembo mtini siku zote
Hufananii ukorofi nkamu😃😃😃Nyie kikundi cha wahuni mpo?
HeeeHufananii ukorofi nkamu😃😃😃
Sawaa mwanaliverpoolHeee
Nkamu tena
Wewe nani?🤣🤣🤣😌
Yaani Manchester bwana mnachekesha sana mjue😂
Usilie basi [emoji3]
Sema sawa Mabingwa wa duniaSawaa mwanaliverpool