hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Man u hana consistency,kama kwa Luton mlihangaika vile ,Mnatushinda point 6 tu
Huwa mnababaishwa Sana na matokeo ,na ndio kipind huwa nakitumia kuwakumbusha
Manjesta hamna uwezo wakushinda mechi 4-5 mfululizo ,au mkasare angalau moja
Unakumbuka last season mliposema mnampiga Palace Kisha mnamfunga Arsenal mnaongoza Ligi , unakumbuka kilichowakuta,ikawa mwisho wenu mkaanza kugombea kubaki top 4
