Hamjasajili, au uchaguzi mbaya wa wachezaji wa kusajili,ilikuwa hamna maana ya kuleta Eriksen wakati mna BRUNO kwanini asikomae kutafuta DM kwingine hata kama De jong amewachomolea, Ten Hugs na yeye ana tatizo tu hapo Man U anaonekana mtu wa akisema jambo hataki ushauri.
Ako kabruno ata usikaongelee na uzur wote wamecheza Bruno kawa mzito sana mara elfu Eriksen anajitaidi...Sasa hao wachezaji wanne sjui watatu unaona wanatosha?
 
20220807_044105.jpeg
 
Back
Top Bottom