Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

mko wapi mlosema uasajili unatosha mna kikosi kizuri nliwaambie tukutane ikiisha game ya brighton nawangoja
 
Huyu kocha nae kiazi tu, Maguire + Shaw + + Tomnay sio wa kuanza.

NB: Utd watafute kipa, kiungo mkabaji na namba 9, tofaut na hivyo top 4 ni ndoto.
 
TUMEPELEKEWA moto mpaka unajiuliza ivi hii ni Man U au lipuli?
Sina cha kulaimu dirisha lipo wazi kazi kwao..ndo madhara ya kutosajili..yote kwa yote ata nikiamshwa niwe kocha siwezi kumpanga MCtomminay kwenye kikosi...Ngoja tuone 2HALF ila kifupi TUMEZIDIWA KILA KITU TENA HOME
Screenshot_20220807-162149.jpg
 
Back
Top Bottom