momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,046
- 2,155
Wanaweza pata sareLeo mnakula 5
Wanaweza pata sareLeo mnakula 5
Hizo zinatakiwa zifike 3 garnacho anazirudisha zote 😄habari zenyuuuu manyuuumbuuu
ChelkengeHapa kenge anayezungumzwa ni nani?
J2 wajipange kwakwli...lawama hatutakiEvans ni shati.
Hmu Flano hutamuona kabisa na yale mapichapicha yake....wacha wachoshwe leo ili siku hyo ikifika sisi tuje kupiga marungu ya kichwa kabisa....hawa kwa wanavyocheza kono la nyani linawahusu siku hyo🤠🤠mna siku 5 za kujiandaa vs gunners
kama ndo mnawategemea akina casemiro
msije lalama ben white eti kamvua mtu glove, lawama hatutaki
Anapakwa Kimbo aka Blue Band 😂😂😂Meshatani miekundu nao leo mk...u upo wazi mnaachia tu!