Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,133
Gaygay manunited
Hakuna kitu wanajua tukiongea humu kwamba hamna wachezaji kulimtu lina kuja hapa kusema sijui maswala ya academy sijui fred anapata namba Brazil mara ooh sio lazima maguaya anapata na EnglandNilisemaga humu,watu wakawa wanaleta uchambuzi na viingereza vingi! Nilisisema gemu tano za mwanzo tukitoboa ndio tuseme tuna timu.
Haya mlete uchambuzi wenu sasa,tukisema hatuna timu muwe mnaelewa. Hii game tumepigwa old trafford mjue..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue sielewi mnaelekea shimoni au kileleni 😂Kamaa hii ni timu ya mpira bhasi Huu mchezo ufutwe dunianii.. mamaaeee hamna timu hapaaaaa
Hahaaaaaaaa, pipi bwanaMuda wa kupata furaha yani nasikia tu kelele tu hapa mafans wanamzuka kwerikweri wa mechi[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2317104
walimtaka rashford aanze [emoji23] ronaldo kamuekea kakosa mwenyeweAya kosa la Ronaldo lipo wap maana mlimwandama sana [emoji28][emoji28][emoji28]
Maguaya team captain
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnafurahe ee!? Hahaaa tuliaYani sioni namba 6 kama yupo umo ndani
ETH haondoki kirahisi hivyo.ETH muda wake unaisha kwa speed kali mno, huenda Christmas akawa ameshatimuliwa. Makosa ya ETH kutobadilisha kikosi. Hao vijana walishashindwa toka msimu uliopita. Inasikitisha sana.
🤣🤣🤣Jana mlikua mnashangilia kwa vigelegele Liverpool kusaka drooInaonekana itakuwa season nyingine ya kupitia kwenye maumivu