Imaniyanguitaniponyatu
Member
- Aug 23, 2021
- 54
- 87
TEN HUGS kayakanyaga ameomba lift mtumbwi wa vibwengo
Dah 😄😄😂😂😂😂TEN HUGS kayakanyaga ameomba lift mtumbwi wa vibwengo

Si mlimpiga liver 4 nyieHuyu kocha nae kiazi tu, Maguire + Shaw + + Tomnay sio wa kuanza.
NB: Utd watafute kipa, kiungo mkabaji na namba 9, tofaut na hivyo top 4 ni ndoto.

Mictominay yupo imaraWenzetu wanasajiri sisi tunakaria upumbavu
Hamjasajili, au uchaguzi mbaya wa wachezaji wa kusajili,ilikuwa hamna maana ya kuleta Eriksen wakati mna BRUNO kwanini asikomae kutafuta DM kwingine hata kama De jong amewachomolea, Ten Hugs na yeye ana tatizo tu hapo Man U anaonekana mtu wa akisema jambo hataki ushauri.TUMEPELEKEWA moto mpaka unajiuliza ivi hii ni Man U au lipuli?
Sina cha kulaimu dirisha lipo wazi kazi kwao..ndo madhara ya kutosajili..yote kwa yote ata nikiamshwa niwe kocha siwezi kumpanga MCtomminay kwenye kikosi...Ngoja tuone 2HALF ila kifupi TUMEZIDIWA KILA KITU TENA HOMEView attachment 2317180
Una access nae ya kumwambia?EtH tunavyosema ilibidi tuwekeze massively kwenye RB,DM na No 9 ilibidi atuelewe.
Nina hasira asee. Yaani hata goli la pili hafikirii kuclear ball kazi kuangalia ball inapita.Kazi kujipiga mitamaa tuu mbwa lileee
Yule bwana magwaya akipelekwa kwenye team yoyote atakuwa liabilityAya kosa la Ronaldo lipo wap maana mlimwandama sana
Maguaya team captain
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani sioni namba 6 kama yupo umo ndani
Kakutana na mandongaTEN HUGS kayakanyaga ameomba lift mtumbwi wa vibwengo
Ako kabruno ata usikaongelee na uzur wote wamecheza Bruno kawa mzito sana mara elfu Eriksen anajitaidi...Sasa hao wachezaji wanne sjui watatu unaona wanatosha?Hamjasajili, au uchaguzi mbaya wa wachezaji wa kusajili,ilikuwa hamna maana ya kuleta Eriksen wakati mna BRUNO kwanini asikomae kutafuta DM kwingine hata kama De jong amewachomolea, Ten Hugs na yeye ana tatizo tu hapo Man U anaonekana mtu wa akisema jambo hataki ushauri.
Halafu mwanetu Captain Maguire mnamuonea sana,halafu mwana sio muongeaji ila wana mtegea sana,ila yy anafanya kazi yake.Huu msimu kuna kushuka daraja, kwa kiungo cha Mctominay na beki ya Maguire kule nyuma, hakuna mahali team itaenda hii