Sasa unataka kusema hii man u ni zaid ya Chelsea??

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
ubora wa timu unazungumziwa kwa mafanikio ya muda husika, je msimu huu mmeshinda mechi ngapi na kupoteza ngapi na manchester united wameshinda ngapi na kupoteza ngapi.......

Je mpo nafasi ya ngapi kwenye league na manchester ipo nafasi ya ngapi kwenye league hadi muda huu?

hayo maswali mawili yanajibu timu gani ni zaidi ya timu nyingine.....haiwezekani mtumie zaidi ya paun mil 200+ alafu hata top 3 msiwepo hadi mzunguko wa kwanza its a shame......
 
Huyu ollachuga usiwe unamchukulia serious.
 
Ningependa kesho mshinde hapo Anfield mvunje historia ya hao majogoo kutofungwa hapo nyumbani kwao Anfield kwa zaidi ya miaka 3.

Kesho Mkishinda kweli nitaacha kuwaita Manyumbu, nitaamini mko serious kupambania ubingwa.
Baada ya kukugonga goli 2, naona umekuja kustaki kwa kaka yako.

Usiwe na wasi kaka yako niko vizuri, nakuhakikishia kesho Livakuku lazima achapwe, tena bakora nyingi sana
 
Mtu anayeamin kuwa hizi nyumbu zunaweza kumfunga Liverpool basi aende milembe kabisa

Kwa namna yeyote ile

Man utd haiwez kumfunga Liverpool anfield never ever
 
Dah,kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi muda mrefu napo kunachosha sana.Fikiria tangu jumanne hadi leo pamoja na kutocheza game yoyote hakuna mtu aliyotusogelea,tunakosa watu wa kupiga nao story..
Ni heri kesho tushukue tupate wageni humu ndani.

Aisee, nimecheka mpaka watu wamenishangaa.

Nyie jamaa mmeshindikana kwa majigambo.
 
Mtu anayeamin kuwa hizi nyumbu zunaweza kumfunga Liverpool basi aende milembe kabisa

Kwa namna yeyote ile

Man utd haiwez kumfunga Liverpool anfield never ever
Tatizo mpira unavyoufikiria kwenye akili yako ndoo tatizo ,wakati Barcelona anapigwa goli 8 nilimwbia jamaangu mpira ni kitu kingne na alikuwa anafikiria mpira kichwani kama wewe ila toka siku hiyo kajifunza kitu.
 
Mmeshaanzaa visingizio

Nikwambie tu kesho ni kipigo cha mbwa koko mpaka huyo shetan aliyeko man u awatoke
Dah,kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi muda mrefu napo kunachosha sana.Fikiria tangu jumanne hadi leo pamoja na kutocheza game yoyote hakuna mtu aliyotusogelea,tunakosa watu wa kupiga nao story..
Ni heri kesho tushukue tupate wageni humu ndani.
 
★Valencia owner Peter Lim welcomes the return of Juan Mata to the Spanish club. Valencia see an opportunity to re-sign Mata for free for the 2021/22 season..★

#GGMU
#LaRazon

manutd |
IMG_20210116_235140_011.jpeg
 
Back
Top Bottom