Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mpaka sasa man utd hana uwezo wa kumfunga

Man city

Liverpool

Mbaya zaid haya arsenal anawapiga

Then unasimama kusema utd inaweza kuchukua EPL hahaaa

Mkitoa sare tu na Liverpool ,ambapo ndio ushindi wenu ,tayar city anakuwa amewapita point mbili mbele akishinda viporo na kuongoza league
North West Derby ya msimu huu siyo kama ya miaka michache iliyopita, msimu huu United tunaenda Anfield tukiwa motivated na kuongoza ligi pia tunapata confidence kwa matokeo yetu mazuri tukiwa away msimu huu.

Ninachoona katika hii mechi haitakuwa rahisi kwa kila timu, Liverpool watataka washinde wamfikie United juu, pia watataka walinde heshima yao ya kutopoteza mechi uwanja wao wa nyumbani kwa kipindi kirefu kwenye EPL.

United lengo letu ni moja tu kuondoka na point(s) uwanja wa Anfield, tuiondoka na 3 zote hii itatusaidia kupiga gape wapinzani na kuwaongezea wachezaji confidence.

Siku hiyo United tutashinda mechi kulingana na kikosi, ninachoamini defense yetu ikisimama vizuri na forward zetu zikitumia chance zetu kwa umakini tutamfunga paka kengele. Liverpool mechi zao za mwisho hawana matokeo mazuri pamoja na defense yao imewaangusha, hii itawapa pressure uwanjani. Liverpool ni timu tishio kwenye ushambuliaji wao pia wanakosa nafasi za kufunga ila huwezi kufananisha na forward ya United. Ongezeko la Cavani litakuwa ni utofauti na NW Derby zilizopita.

Siku hiyo angalia game kama burudani don't expect anything kutoka kwa timu utakayoi-support, usiangalie na matokeo yako mfukoni. A game could go any way.....

🎶Glory Glory Man. United.....
As the reds go marching on on on.....🎶
 
Glory Glory Man. United.....
As the reds go marching on on on.....
Game kama hizi za kuamua

Klopp huwa hakosei

Narudia tena ole hana mapafu ya kuhimili match za namna hii

Pale anfield mnaenda kufa bila kipingamizi

Labda mtazuia idadi kubwa ya magoli yasiingie ,ila hamwezi kupona kwa namna yeyote ile ....!
 
J pili shetani anakufa mapema kabisa hizi games za namna hii wala hazitupagi pressure pressure ipo kwenu Man utd
North West Derby ya msimu huu siyo kama ya miaka michache iliyopita, msimu huu United tunaenda Anfield tukiwa motivated na kuongoza ligi pia tunapata confidence kwa matokeo yetu mazuri tukiwa away msimu huu.

Ninachoona katika hii mechi haitakuwa rahisi kwa kila timu, Liverpool watataka washinde wamfikie United juu, pia watataka walinde heshima yao ya kutopoteza mechi uwanja wao wa nyumbani kwa kipindi kirefu kwenye EPL.

United lengo letu ni moja tu kuondoka na point(s) uwanja wa Anfield, tuiondoka na 3 zote hii itatusaidia kupiga gape wapinzani na kuwaongezea wachezaji confidence.

Siku hiyo United tutashinda mechi kulingana na kikosi, ninachoamini defense yetu ikisimama vizuri na forward zetu zikitumia chance zetu kwa umakini tutamfunga paka kengele. Liverpool mechi zao za mwisho hawana matokeo mazuri pamoja na defense yao imewaangusha, hii itawapa pressure uwanjani. Liverpool ni timu tishio kwenye ushambuliaji wao pia wanakosa nafasi za kufunga ila huwezi kufananisha na forward ya United. Ongezeko la Cavani litakuwa ni utofauti na NW Derby zilizopita.

Siku hiyo angalia game kama burudani don't expect anything kutoka kwa timu utakayoi-support, usiangalie na matokeo yako mfukoni. A game could go any way.....

Glory Glory Man. United.....
As the reds go marching on on on.....
 
Mpaka sasa man utd hana uwezo wa kumfunga

Man city

Liverpool

Mbaya zaid haya arsenal anawapiga

Then unasimama kusema utd inaweza kuchukua EPL hahaaa

Mkitoa sare tu na Liverpool ,ambapo ndio ushindi wenu ,tayar city anakuwa amewapita point mbili mbele akishinda viporo na kuongoza league

Namba moja ni nani? Hahahahah
 
Mech ya jumapili martial ni muhimu kucheza nimeangalia mech iliyopita martial,rashford na cavan naona wanaweza kufanya poa sioni kama fred anahitajika matic aendelee kuwepo pale nasema hivyo alisaidia sana ktk suala la kupiga pasi kwenda mbele kitu ambacho fred hana
 
Klop complain about United being awarded penalties
insta_2486386174550341958.jpeg
 
North West Derby ya msimu huu siyo kama ya miaka michache iliyopita, msimu huu United tunaenda Anfield tukiwa motivated na kuongoza ligi pia tunapata confidence kwa matokeo yetu mazuri tukiwa away msimu huu.

Ninachoona katika hii mechi haitakuwa rahisi kwa kila timu, Liverpool watataka washinde wamfikie United juu, pia watataka walinde heshima yao ya kutopoteza mechi uwanja wao wa nyumbani kwa kipindi kirefu kwenye EPL.

United lengo letu ni moja tu kuondoka na point(s) uwanja wa Anfield, tuiondoka na 3 zote hii itatusaidia kupiga gape wapinzani na kuwaongezea wachezaji confidence.

Siku hiyo United tutashinda mechi kulingana na kikosi, ninachoamini defense yetu ikisimama vizuri na forward zetu zikitumia chance zetu kwa umakini tutamfunga paka kengele. Liverpool mechi zao za mwisho hawana matokeo mazuri pamoja na defense yao imewaangusha, hii itawapa pressure uwanjani. Liverpool ni timu tishio kwenye ushambuliaji wao pia wanakosa nafasi za kufunga ila huwezi kufananisha na forward ya United. Ongezeko la Cavani litakuwa ni utofauti na NW Derby zilizopita.

Siku hiyo angalia game kama burudani don't expect anything kutoka kwa timu utakayoi-support, usiangalie na matokeo yako mfukoni. A game could go any way.....

Glory Glory Man. United.....
As the reds go marching on on on.....

Ila nawapa ushindi liverpool wana rekod nzuri sana nyumbani mengine dakika 90 united wanatakiwa wapambanie suluhu itamfaa sana
 
Back
Top Bottom