Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mbona kama unatumia nguvu..

Kwahiyo wewe mwenye timu kubwa mara ya mwisho kubeba kombe lolote ni lini?

Haya tumemuona huyo Buruno Penandezi wenu kwenye game ya semi final juzi.

Au timu kubwa makombe yenu ni Semi Final?
Acha kujitoa Akili hivi Arsenal nayo ni timu kubwa!? Usilazimishe mambo
 
Nikiangalia kwa undani zaidi ,uwezo,technque na tactic za wachezaji wa man utd

Harafu wakutane na damu zinazowaka moto wa anfield ,mane ,salah ,
Gin,henderson,keita

Aisee ,fab ,anord,matip ,mbaya zaidi wamepoteza game iliyopita sijaona man utd ataponea wapi hshaaaaa

Aisee hao vijana wakiwasha moto, utd mtatamani mpira uishe ,na hakutakuwa na pa kutokea zaidi ya kula goli 5+

Utd wenyew wanajua kabisa hatuponi pale anfield

City pekee ndio inauwezo wa kumpiga liverpool anfield ,waletee
Leo man u ataenda gheto kiulaini tu
 
Aliondoka kwa hasira baada ya kuambiwa atakuwa mshambuliaji wa 3 ila hakutoka mikono mitupu aliondoka na medal ya uefa champions na club world cup kwa wakat huo alikuwa akiwaonesha wakina company, yaya toure, david silva,dzeko na micah richards na wengine watoto wa city medal za kimataifa zilivyo
 
Sipati picha tukishinda kesho,
Wachezaji inabidi wajazwe upepo wa kutosha. Siyo Rashid anakuwa kwenye boksi anataka beki wampishe ndiyo a-shoot. Anapaswa kupiga ikitokea ameingia kwenye yard kuliko kusubiri loose angle ambayo haipatikani, hapo tutashinda.

Frequency ya mashuti kwenye lango la opponent inambabaisha kipa na beki wanapatwa na kiwewe

Rashid anapoteza sana chances kwenye yard japo ana energy na bidii.
 
★ Ronaldo Rooney

A Man Utd love story

#GGMU

manutd |
IMG_20210117_095253_028.jpeg
IMG_20210117_095252_049.jpeg
IMG_20210117_095252_370.jpeg
IMG_20210117_095252_602.jpeg
 
Mambo matatu (3) ambayo naona inabidi yafanyike ili tujiimarishe zaidi na tuweze kukimbizana na giants wengine Ulaya;

1.USAJILI

✓Inabidi tusajili defensive midfielder (DM) ambaye ataweza kufanya kazi wanazofanya McTominay na Fred kwa pamoja..Mfano,Prime Matic,Fabinho..

.✓RW bado ni muhimu sana kuwa naye..Rashford contribution yake akiwa anatokea kulia bado sio nzuri na sioni namna tunayoweza kuendelea kumtumia hapo kwa muda mrefu..Diallo na Facundo sidhani kama wapo tayari kudeliver tunachokihitaji kwa level ya United..Either way mmoja akipewa game time kidogo kidogo next season tunaweza kuwa atleast tumepata mwarobaini wa hilo swala kama kusajili tena RW ni ngumu sasa hivi.

.✓Tunahitaji backup RB wa kumpa changamoto AWB na pia kuongeza depth kikosini lakini lazima awe pia mzuri offensively asiwe old school kama AWB.

2. IMPROVE GAME MANAGEMENT

.✓Inabidi benchi la ufundi liongeze nguvu kwenye namna wanavyofanya game management..Unajua tunaweza kusema kuwa Ole ni tactical inept lakini tutakuwa tunakosea sana..Jambo ninaloliona tunakosa ubora kwenye namna tunavyomanage mabadiliko ya kimchezo wakati game ikiwa live na mapungufu yanaonekana hasa tunapocheza na timu zenye walimu wajanja wajanja..

✓Timu selection pia imekuwa changamoto..lakini inabidi tutengeneze system ambayo haitakuwa inahitaji mabadiliko mengi kikosini kwenye mechi tofauti tofauti..Yaani system iwe inaweza kupambana na yeyote na selection ya wachezaji ndo ije baadae..i.e hakuna haja ya kuwa na Two DMs wakati tunaweza kutengeneza system na tukapata proper DM ambaye atafanya kazi za hao wawili vizuri na kuongeza namba ya offensive players uwanjani kwani nafasi ya huyo DM mwingine itajazwa creative/attacking/offensive midfielder

✓Tunaweza pia kuongeza mzee wenye experience(coaching staff) kwenye benchi wasaidiane na Ole mambo kadhaa,najua Phelan yupo pia tuna ma-analyists lakini naona bado bado..

3.GOOD YOUTH FOOTBALL STRUCTURE

✓Soka la sasa mchezaji mzuri ili umpate ni lazima uvunje kibubu vibaya sana..Nimeona ni kama tumeanza sera ya kusajili vijana wadogo (wonder kids) na kuanza kuwanoa ili wawe future key players wetu hapo mbeleni..hili ni jambo jema kwani pia litapunguza kuzungushwa zungushwa kwenye dirisha la usajili..Diallo + Facundo wakipewa training vizuri plus mazingira yasiyo watengenezea pressure basi muda mfupi tu ujao tutaanza kuwategemea naamini hilo..huu utaratibu uendelee wa kuspot youths wenye potential na kuwaleta na kuwanoa kwenye academy yetu huku wakipewa first team appearance mdogo mdogo + onloan pale ambapo itawezekana.

✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓

Well,let's talk about that North Western Derby jumapili hii;

My Starting XI vs Liverpool

==================

De Gea

AWB Bailly Maguire Shaw

McTominay Fred

Rashford Fernandes Pogba

Cavani

=================

McTominay hajawa mzuri tokea ile game ya Leeds lakini nitampa kazi ya kuzuia mashambulizi ya Robertson..Kama Pia McFred first half ikizingua ni bora wakatoka wote na waingine Matic na Martial/Greenwood.

Tunakutana na Liverpool huku tukiwa kidogo hatuna uoga sana na naona game hii yeyote anaweza kushinda..ilikuwa ngumu kusema hili miaka miwili iliyopita..Tuingie kupambana smartly na kama tukikosa ushindi basi point moja iwe yetu..naamini tunauwezo mkubwa tu wa kufanya hili..ishu nyingine inabaki ni match tactics,maana mechi hizi kubwa muda mwingine zinaamuliwa na details ndogo ndogo tu.

GGMU
Mkuu Darmian umetisha
 
Umegusa mule mule
 
Back
Top Bottom