Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Leo kipigo kinatembea
Nani kakuuliza?Mpaka sasa man utd hana uwezo wa kumfunga
Man city
Liverpool
Mbaya zaid haya arsenal anawapiga
Then unasimama kusema utd inaweza kuchukua EPL hahaaa
Mkitoa sare tu na Liverpool ,ambapo ndio ushindi wenu ,tayar city anakuwa amewapita point mbili mbele akishinda viporo na kuongoza league
Jibu ni kwambaTukiondoa dhana ya ushabiki,game kati ya man utd na Liverpool ni moja kati ya game ngumu ambazo huwa nazishuhudia msimu hadi msimu. Pamoja na kupoteza form yao,bado wale wajinga Liverpool wanatishia kutawala mechi,kushinda mechi na kuchukua ndoo kabisa. Na kusema kweli hili la mwisho linanikera zaidi,i heri pep atusaidie msimu huu
Liverpool alikuwa ana performance 150% wakati united tukiwa na 70%,hivyo kushuka kwa Liverpool wamerudi 90-95% wakati man utd wamepanda form kufikia 80-90% ya form yao. Kimsingi uchezaji wa Liverpool umebaki ule ule kasoro ni kukosa target nyingi kama ilivyokuwa msimu jana.
Tatizo kubwa la man utd ni kukosa muunganiko mzuri kitimu matokeo yake tunategemea Bruno ameamka na kiwango gani siku hiyo. Yaani kiurahisi tu ni kwamba united bado ni timu ya kutegemea baadhi ya wachezaji wako form timu ifanye vizuri au sivyo tunapoteana. Kwa Liverpool mfumo ndio unacheza.
Pamoja na hayo yote,Liverpool wamekuwa wanaelewa roho wanayoingia nayo vijana wa united hivyo na kwao wanahisi sio game rahisi kama kucheza na arsenal na Chelsea.
United tuna nafasi yetu kushinda hii game ikiwa tukiwa wazuri kuanzia kwenye kiungo cha juu na Marcus akiacha uchoyo wake. Kitakacho tofautisha matokeo ni ubora wa Bruno na thiago kwenye eneo la kiungo.
Come on red devils
GGMU
Nani hayaogopi majogoo?
Leo nakupiga easy sana
3-1
Bado hamna team mnashinda ndondokela tu
Nani hayaogopi majogoo?
Leo nakupiga easy sana
3-1
Bado hamna team mnashinda ndondokela tu




Tukivaa uzi mweusi basi shuhuri imeisha
Hatutoki
Hizi kits nyeusi hazijawahi kutuacha salama tukicheza big matchesKwa nini mkuu?
Ila hata mimi nigependa tuvae jersey yetu ya punda milia.
Japo kuna raia zinaikanyagia ile jersey lakini hizo ndio jersey kali (kwangu) kwa msimu huu.
Kwanini mkuu?Jibu ni kwamba
Ukiona tumevaa uzi mweusi hata sare usitarajie
Kikosi kitamu sana,namuombea Fred awe na form yake aliyokuja nayo toka shaktar
Kikosi kitamu sana,namuombea Fred awe na form yake aliyokuja nayo toka shaktar
Shaw akiwa na form yake mzuri kwenye uzuiaji,ikizingatiwa upande wake yuko lazy labile pogba,inatakiwa full back asiyepanda sana ama la watatukamata offguard mkuuShaw akae bench mkuu
Shaw hii Mechi anaanza.