Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Game kama hizi za kuamua

Klopp huwa hakosei

Narudia tena ole hana mapafu ya kuhimili match za namna hii

Pale anfield mnaenda kufa bila kipingamizi

Labda mtazuia idadi kubwa ya magoli yasiingie ,ila hamwezi kupona kwa namna yeyote ile ....!
Mkuu punguza hasira kidogo!!
 
Huyu naye ka fala

Huyo brunyo ni wa kumfananisha na classic player kama kbd ?

Man utd inabebwa tu na media ,Bruno hana na hawezi mfikia kbd kwa kila kitu
Nadhani kama asingekuwa hana uwezo. Man u ingekuwa ya 7. Wala asingepata hizo tuzo za mchazaji wa mwezi.
Man u hii imebadilika sababu ya bruno. Ndio kaja kuwaamsha.. asingekuwepo.. ole angekuwa level za newcastle huko
 
Mambo matatu (3) ambayo naona inabidi yafanyike ili tujiimarishe zaidi na tuweze kukimbizana na giants wengine Ulaya;

1.USAJILI

✓Inabidi tusajili defensive midfielder (DM) ambaye ataweza kufanya kazi wanazofanya McTominay na Fred kwa pamoja..Mfano,Prime Matic,Fabinho..

.✓RW bado ni muhimu sana kuwa naye..Rashford contribution yake akiwa anatokea kulia bado sio nzuri na sioni namna tunayoweza kuendelea kumtumia hapo kwa muda mrefu..Diallo na Facundo sidhani kama wapo tayari kudeliver tunachokihitaji kwa level ya United..Either way mmoja akipewa game time kidogo kidogo next season tunaweza kuwa atleast tumepata mwarobaini wa hilo swala kama kusajili tena RW ni ngumu sasa hivi.

.✓Tunahitaji backup RB wa kumpa changamoto AWB na pia kuongeza depth kikosini lakini lazima awe pia mzuri offensively asiwe old school kama AWB.

2. IMPROVE GAME MANAGEMENT

.✓Inabidi benchi la ufundi liongeze nguvu kwenye namna wanavyofanya game management..Unajua tunaweza kusema kuwa Ole ni tactical inept lakini tutakuwa tunakosea sana..Jambo ninaloliona tunakosa ubora kwenye namna tunavyomanage mabadiliko ya kimchezo wakati game ikiwa live na mapungufu yanaonekana hasa tunapocheza na timu zenye walimu wajanja wajanja..

✓Timu selection pia imekuwa changamoto..lakini inabidi tutengeneze system ambayo haitakuwa inahitaji mabadiliko mengi kikosini kwenye mechi tofauti tofauti..Yaani system iwe inaweza kupambana na yeyote na selection ya wachezaji ndo ije baadae..i.e hakuna haja ya kuwa na Two DMs wakati tunaweza kutengeneza system na tukapata proper DM ambaye atafanya kazi za hao wawili vizuri na kuongeza namba ya offensive players uwanjani kwani nafasi ya huyo DM mwingine itajazwa creative/attacking/offensive midfielder

✓Tunaweza pia kuongeza mzee wenye experience(coaching staff) kwenye benchi wasaidiane na Ole mambo kadhaa,najua Phelan yupo pia tuna ma-analyists lakini naona bado bado..

3.GOOD YOUTH FOOTBALL STRUCTURE

✓Soka la sasa mchezaji mzuri ili umpate ni lazima uvunje kibubu vibaya sana..Nimeona ni kama tumeanza sera ya kusajili vijana wadogo (wonder kids) na kuanza kuwanoa ili wawe future key players wetu hapo mbeleni..hili ni jambo jema kwani pia litapunguza kuzungushwa zungushwa kwenye dirisha la usajili..Diallo + Facundo wakipewa training vizuri plus mazingira yasiyo watengenezea pressure basi muda mfupi tu ujao tutaanza kuwategemea naamini hilo..huu utaratibu uendelee wa kuspot youths wenye potential na kuwaleta na kuwanoa kwenye academy yetu huku wakipewa first team appearance mdogo mdogo + onloan pale ambapo itawezekana.

✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓✓

Well,let's talk about that North Western Derby jumapili hii;

My Starting XI vs Liverpool

==================

De Gea

AWB Bailly Maguire Shaw

McTominay Fred

Rashford Fernandes Pogba

Cavani

=================

McTominay hajawa mzuri tokea ile game ya Leeds lakini nitampa kazi ya kuzuia mashambulizi ya Robertson..Kama Pia McFred first half ikizingua ni bora wakatoka wote na waingine Matic na Martial/Greenwood.

Tunakutana na Liverpool huku tukiwa kidogo hatuna uoga sana na naona game hii yeyote anaweza kushinda..ilikuwa ngumu kusema hili miaka miwili iliyopita..Tuingie kupambana smartly na kama tukikosa ushindi basi point moja iwe yetu..naamini tunauwezo mkubwa tu wa kufanya hili..ishu nyingine inabaki ni match tactics,maana mechi hizi kubwa muda mwingine zinaamuliwa na details ndogo ndogo tu.

GGMU
 
andiko bora zaidi kutoka kwako tokea nianze kukufahamu brother.Mungu azidi kukubariki pamoja na ndugu zako. kwa ufupi nimeshindwa kupunguza chochote kwenye andiko lako wala cha kuongezea kwa muda huu...
 
Mkuu we ni jinsia gani?
Tusije tukawa tunaua mende kwa nyundo bure!
Man utd ni level za kina Southampton

Hakuna club EPL kwa sasa kama man city

Phil foden ndio POMs Mimi navoona

City player wanapiga kazi ila wapo underrated

Huyo Bruno amekuwa overrated sana ,

Man utd inabebwa na media tu ,kiuharisia bado sana kimpira
 
Unateseka ukiwa wapi mkuu?🤪
 
My prediction

Liverpool 0-1 Manutd (FT)

U2 5

1H - (0-0)

2H - (0-1)

Rashford to score at any time in the second half

Ball possession

Liverpool 47% - Manutd 53%

No red card

Yellow cards

Liverpool 1 - Manutd 4

Completed passes

Liverpool 408 - Manutd 556
 
Man utd ni level za kina Southampton

Hakuna club EPL kwa sasa kama man city

Phil foden ndio POMs Mimi navoona

City player wanapiga kazi ila wapo underrated

Huyo Bruno amekuwa overrated sana ,

Man utd inabebwa na media tu ,kiuharisia bado sana kimpira
Sawa ambaruti

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Rooney now officially retiree
IMG_20210115_234328_334.jpg
 
Back
Top Bottom