mechi nyingine huwa hucheki??
Matic, Fred, Tominay........ Fernandes
Martial in, isije kuwa kama Rashford alivyolazimisha halafu akapata injury ya muda mrefu View attachment 1373737
Sent using Jamii Forums mobile app
Man U ishinde bana,
Tukifungwa Arsenal, Chelsea, Livepool, Man City, Tottenham wanahamia humu asee.
Mkuu leo tunapata shida sana, nimeiangalia Everton mechi zake tatu za mwisho pamoja na hii ya mwisho lasy week na Arsenal Everton ni moto mkali.
Kuna wataalam wa Premier League waliweka prediction ya first XI ya Man U leo, ikiwa-include Shaw na Williams kushoto na Ighalo badala ya mvivu Martial. Naona Ole Kawapuuzia. NADHANI TUNAHITAJI FORWARD ALIYETAYARI KUVUNJIKA PUA KULIKO KUMUACHA BEKI APIGE FREE HEADER. tunafeli sana hapo mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sijakosea mfumo wa leo ni 442 diamond, hauhitaji striker wa kuvunja pua, itabidi tu full back zetu ziwe 110%Mkuu leo tunapata shida sana, nimeiangalia Everton mechi zake tatu za mwisho pamoja na hii ya mwisho lasy week na Arsenal Everton ni moto mkali.
Kuna wataalam wa Premier League waliweka prediction ya first XI ya Man U leo, ikiwa-include Shaw na Williams kushoto na Ighalo badala ya mvivu Martial. Naona Ole Kawapuuzia. NADHANI TUNAHITAJI FORWARD ALIYETAYARI KUVUNJIKA PUA KULIKO KUMUACHA BEKI APIGE FREE HEADER. tunafeli sana hapo mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama sijakosea mfumo wa leo ni 442 diamond, hauhitaji striker wa kuvunja pua, itabidi tu full back zetu ziwe 110%
Dah makosa ya aina hii hayatakiwi kufanywa kabisa na golikipa wa kiwango cha De Gea
Sent using Jamii Forums mobile app