Chelsea kashikwa pabaya..
Kesho tukishinda itakuwa poa sana..
Walistarehe sana kwa kutangulia.
Ila washafanya gemu yetu na Manchester City kuwa ngumu
Kesho utaelewa tu kati ya Ole guna na Arteta nani maisha yake magumu,Westham hawapo tayari kushuka daraja. Aston Villa ya akina Samata wawe makini sana. Kwa upande mwingine Lampard na Arteta maisha yao magumu sana.


Hivi forward dunia nzima hamkuona paka mnasajili ighalo aje kula pension, hii timu bhana,.![]()
Hiki ni kipindi kigumu sana ukikutana na timu iko nafasi ya 15 and below kwenye msimamo wa ligi.
Wachezaji huwa wanapambana sana kunusurika wasishuke daraja ndicho kilichomtokea Leceister city jana, chelsea leo na Liverpool.
Jambo la kushkuru sisi fixture yetu haina hizi timu ukiondoa Bornemouth na Aston Villa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cathcart, welbeck, foster, cleverly. Academy muscles.
Hawa Watford si ndio tumewafunga wiki iliyopita
Na kuna watu walisema, "hata hivyo mmewafunga Watford tu"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile game Watford walifanya uzembe mwingi sanaNdiyo hao hao.
Hata game ya kwanza na Liverpool basi bahati siku hiyo ilikuwa upande wa Liverpool
Game hiyo Alexander Docoure alikosa nafasi tatu za wazi yeye na nyavu na Sarr ilikuwa hivyo hivyo leo wamekuja kivingine sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Perreira na Lingard wamefata nini hapo?Manchester United squad vs Everton: de Gea, Romero, Bishop, Wan-Bissaka, Dalot, Bailly, Lindelof, Maguire, Shaw, Williams, McTominay, Fred, Matic, Pereira, Mata, Lingard, James, Fernandes, Chong, Greenwood, Ighalo
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahhNext time ukija kwenye jukwaa letu uandike mwenyewe siyo kumkabidhi beki tatu akuandikie utatupofua macho.
Ni hayo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app