Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

√De Gea amefanya first class blunder

√First half tumecheza poa..ila second half tumepoteza concentration na urgency

√Hapa goodison park sio pazuri,lakini nadhani ilibidi tuongeze umakini na juhudi zaidi..

√Martial amecheza kama hataki vile..Not a required standard for united striker

√Fernandes was superb apart from losing a ball frequently
 
Kuna watu hawaoni hili..Awaangalie Richarlson, Culvert Lewin et all. Ligi ya Uingereza ni kupambana haswaa, aache uzezeta.
Ighalo angeanza tungekuwa tunaongea mengine hapa.
Ila huyu Martial ajifunze kwa washambuliaji wa team zingine maana anatu cost sana baadhi ya mechi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MCHAMBUZI ANASEMA...KITENDO CHA SIGURDSON KUNYANYUA MIGUU KUUPISHA MPIRA TAYARI AMEKUWA PART OF THE GAME (AMEKUWA SEHEMU YA MPIRA ULIOPIGWA) ANGEWEZA KULALA KIMYA NA MPIRA UKAPITA LINGEKUWA GOLI BILA KUHITAJI VAR.
Mkuu hebu tuelezee vizuri, maana hata hawa pundits wamezungumzia kitu hicho. Ni sheria ipi?? Kwani sheria ya offside si hadi anayehusika moja kwa moja na mpira ndo awe offside ndo inakuwa?? Kwanini hii imekuwa tofauti???

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye point ya nne nadhani tunaelekea kuelewana...
√De Gea amefanya first class blunder

√First half tumecheza poa..ila second half tumepoteza concentration na urgency

√Hapa goodison park sio pazuri,lakini nadhani ilibidi tuongeze umakini na juhudi zaidi..

√Martial amecheza kama hataki vile..Not a required standard for united striker

√Fernandes was superb apart from losing a ball frequently

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hebu tuelezee vizuri, maana hata hawa pundits wamezungumzia kitu hicho. Ni sheria ipi?? Kwani sheria ya offside si hadi anayehusika moja kwa moja na mpira ndo awe offside ndo inakuwa?? Kwanini hii imekuwa tofauti???

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka mechi ya City na United ya kwanza kocha Mourinho mpira ulipigwa Zlatan alikuwa offside position akaukwepa mpira ukaingia ikawa offside ina maana mchezaji wa Everton ameingilia mchezo wakati yupo offside position
 
Back
Top Bottom