Acha kukopi maneno ya wanaume tafuta ya kwako





Akisimama Fred na Pobga apo sawa.Pogba bado ni mchezaji muhimu United.
Combo ya Pogba na Bruno.
Siipatii picha.
Sent using Jamii Forums mobile app


Dah Njoon tu japo msimu huu mumetuotea otea kimazabe ila raundi tukipangwa na nyie tuna wanywa..


Nitaacha lini? Ukiwa fan wa Chelsea tayari una IQ kubwa sana..
Ah! Ivi tumeshamalizana eeKijana utakua una kesha sana humu maana hatuna game na ninyi hadi august
Sent using Jamii Forums mobile app


Acha kukopi maneno ya wanaume tafuta ya kwako
Umeona alichofanywa Liverpool jana? Wewe utafanywa Mara mbili..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Akisimama Fred na Pobga apo sawa.
Hii inaweza kuwa combo mbovu zaidi ..utanambia tu..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu Everton kuhakikisha ushindi unarudi unabaki mjini Liverpool..Leo sisi Everton tunashinda goli chache tu kama alizoshinda Watford jana.
Tukikutana FA tutawawekea combo ya Pereira na Lingard
Maana kuwapanga akina Fred ni sawa na kutumia nyundo kuua sisimizi
Sent using Jamii Forums mobile app



Hahahahahalafu wewe jamaa dawa yako inachemka, lile tusi la juzi na bayern bado nalitafutia jibu
Sent using Cash Money Wings
Utawahi tu ila kisago kipo palepale


Hii ndio IQ kubwa!? Tushamalizana tumekubonda zote na bado unasema sisi ndio tuna bahati. Asee IQ za wana chelsix bwana!Ah! Ivi tumeshamalizana ee
Munabahati sana ..
Apo august tutakuwa na kikosi kipana ivyo tutapiga yeyote yule..
#CFC
Sent using Jamii Forums mobile app