Chelsea kama mchepuko wetu..tunajipigia tu

√Maguire kuna namna anayumba..inabidi apange safu yake vizuri na yeye acheze vizuri

√Sioni kitu spesho kwa Rojo zaidi ya utumiaji na nguvu pasipo kushirikisha akili

√Rashford big up

√Martial kapata nafasi ya kutengeneza goli mbili kazichezea zote..angekuwa chini ya kocha kama Pep sidhani upumbavu huu ungevumiliwa

√McTominay kama anakuwa mtu hivi!!!..Fred naye sio mbaya anatusave save
1. Maguire muache tu ni mwamba
2. Rojo ni muhuni wa South America huko, nampenda anacheza jihad. Wale maforward wasumbufu anawapoteza sana, natamani amkabe Sterling. Anawatuliza mastriker wanaacha papara.MZURI SANA, HAREMBI.
3. RASHFORD NI MOTO.
4.MARTIAL AKATAFUTE TIMU NYINGINE, Timu kama Southampton itamfaa zaidi.
 
Lazima tukosoe mkuu..sio kusifia tu
 
Back
Top Bottom