Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumepokea tahadhari yako mkuu

Rashidi ana goli saba sasa, bado goli 8 tukufuze humu

Kumbuka ana mechi zaidi ya 30 zimebaki
Angalia waliwafunga wakina nani bana ...

Kuna kuna hati hati zile nne zikarud na chenchi ...

Nimewatahadharisha lakini..

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Chelsea kama mchepuko wetu..tunajipigia tu

√Maguire kuna namna anayumba..inabidi apange safu yake vizuri na yeye acheze vizuri

√Sioni kitu spesho kwa Rojo zaidi ya utumiaji na nguvu pasipo kushirikisha akili

√Rashford big up

√Martial kapata nafasi ya kutengeneza goli mbili kazichezea zote..angekuwa chini ya kocha kama Pep sidhani upumbavu huu ungevumiliwa

√McTominay kama anakuwa mtu hivi!!!..Fred naye sio mbaya anatusave save
 
Chelsea kama mchepuko wetu..tunajipigia tu

Maguire kuna namna anayumba..inabidi apange safu yake vizuri na yeye acheze vizuri

√Sioni kitu spesho kwa Rojo zaidi ya utumiaji na nguvu pasipo kushirikisha akili

√Rashford big up

√Martial kapata nafasi ya kutengeneza goli mbili kazichezea zote..angekuwa chini ya kocha kama Pep sidhani upumbavu huu ungevumiliwa

√McTominay kama anakuwa mtu hivi..Fred naye sio mbaya anatusave save
Kila mtu na demu ake sio [emoji28][emoji28]

Si demu etu asenali.... Tumempiga alooo [emoji23]
 
Back
Top Bottom