Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkifugwa humu ndani nawambia mtapaona pachungu, ni siku nyingi sana sijawakera.
 
Ni mara ya kwanza kwa bruno fernandez kukosa mechi kwa sababu ya majeraha.

Ni miaka minne tokea asajiliwe manchester united
 
Screenshot_20240506_215417_All%20Goals.jpg
 
Hivi Hawa Man-u wanachezaje? Yani hakuna kabisaa pattern ya kiuchezaji!!! wakichukua Mpira muda mchache tu wameshanyanganywa. Yani kama vile hawaendi kiwanja cha mazoezi.
 
Back
Top Bottom