Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wale wachalii waliokupiga goli 4 kavu pale Theatre of Dreams ndo mziki wenyewe niliokuwa nauzungumzia
Angalia waliwafunga wakina nani bana ...

Kuna kuna hati hati zile nne zikarud na chenchi ...

Nimewatahadharisha lakini..

Kila la kheri Chelsea
 
Wale wachalii waliokupiga goli 4 kavu pale Theatre of Dreams ndo mziki wenyewe niliokuwa nauzungumzia
Chelsea mliyopiga goli 4,na Chelsea ya Leo ni tofauti kapisa.
Tukiweka ushabiki pembeni huo ndo ukweli.
Muda sio mrefu litathibitika hilo.
 
Kwa haka ka-kikosi ka Chalsea na ule mkikosi wa UNITED. Naomba vikapu viandaliwe hapo darajani mapema kabisa.
 
Back
Top Bottom