Northman
JF-Expert Member
- Dec 22, 2016
- 1,587
- 2,518
Chelsea A ingepigwa 4 tena.Chelsea C vs Man United Full mkoko + penati ...
Hongereni.
Chelsea A ingepigwa 4 tena.Chelsea C vs Man United Full mkoko + penati ...
Hongereni.
Bayern siku hizi hamna kituHutaweza kuwaona hao madogo mech na city au liverpool walipobadili mbinu kipindi cha pili bado tunahitaj watu wa kazi
Angalia timu kama
Buyern munich
Juventus
Atletico madrid
Real madrid
Barcelona
Angalia sehem ya kiungo kisha njoo kwetu hizi mech za wakina norwich sio kipimo sahihi sema vile tunashangilia ushindi tu lakin ukija uhalisia sisi bado sana ktk eneo la kiungo hizo timu kama tunapambana nazo basi had wakina rashford watakuwa mabek
Eeee atafungwa zote..Si big six tu!Bitter truth!
Lampard hajawahi kushinda against Timu yoyote ya Top 6
1) Man United 4 - 0 Chelsea
2) Chelsea 1 - 2 Liverpool
3) Chelsea 1 - 2 Man United
4) vs City ?????
5) vs Spurs????
6) Arsenal ????
Nakuhakikishia Lamprd hawezi shinda Mechi kubwa hata moja msimu huu.
Watakuja tena pale geto ..jana waligoma wakalala na nguoOyaa.. Mmepigwa hadi na manyumbu![]()
Ingekuwa chelsea hajawah kufungwa na united point yako ingekuwa na mashikoMan Utd bila penalty za mbeleko ni mweupe sana kama pumba za nafaka![]()
Yule abraham hana tofauti na ihenacho utokaji waoRashford
Form v/s Class
Form temporary
Class permanent
Question: Where is Tammy Abraham now?
Answer: Form is temporary
DJ & Mc Tommy ni Class
The rest (Rashford and c.o) ni form that's why sometime yes, sometime no.
Bado utakutana na mwanaWatakuja tena pale geto ..jana waligoma wakalala na nguo
Fred alianza taratibu sana baadae akakaa sawa pia upigaji wa pasi bado sio makini sana naona kwa sasa ni upigaji wa pasi kwa usahihi tu ila scott naona anazidi kuimarika kila siku anakata umeme haswaaaaNilichoona
Fred na Mc Terminator walitisha sana kati kati, kwa Scoty tuna mtu wa maana kweli kweli
Rashy anaweza ku score goli, lakini sio aina ya namba tisa wale tunaowajua (niliwahi kusema, Rashy anaweza kukupatia goli kati ya 15 na 25 kwa msimu)
Kwa namna United inavyocheza sasa na aina ya wachezaji waliopo, itaendelea kupata penati za kutosha. Wachezaji wa mbele wana pace ya kulazimisha beki ya upinzani kucheza faulo. DJ atatuletea penati nyingi sana.
Kuna watu humu (kutoka vitimu vidogo vidogo) wanataka kutuaminisha kwa kuwa United anafunga kwa penati, basi penati zimefutwa kwenye mchezo wa soka. Hawa hawa watu walimsifia sana Hazard, Salah, Kane, Aguero n.k. walipoongoza kwa ufungaji wa magoli yakiwemo mengi ya penati.
Goli la Chelsea limepatikana sababu ya makosa ya mabeki kwa sehemu flani, hivyo beki ya kati kwa sehemu inahusika. Hata hivyo lazima tuisifu beki na kiungo yetu, kwani goli moja walilopata Chelsix ndio shot on target pekee waliyopiga
Good morning kwa hisani ya Scot Mc-terminator
Ila we mzee baba kuna muda unachekesha sana huwaga unatabir kama vile unacheza na wiganWazee wa Mbwe mbwe jumatano tunawanyoa kwa chupa...
#nyiekukuniwetu
Kila la kheri Chelsea![]()
Manyumbu yameshinda wiki la kelele hili....
Watakuja tena pale geto ..jana waligoma wakalala na nguo
RubbishMarcus again.... Chelsea 1 - 2 Man Utd
Watangazaji wanasema linaweza kuwa ni goal of the season
Mkuu mimi nilikubali kuweka ushabiki pembeni nilifuata ushaur wakoChelsea mliyopiga goli 4,na Chelsea ya Leo ni tofauti kapisa.
Tukiweka ushabiki pembeni huo ndo ukweli.
Muda sio mrefu litathibitika hilo.
Waliocheza wote basi ni mbuziMnashinda kombe la mbuzi mnaongea sana ngoja ligi ianze mnyooshwe
Darajani hapohapo tumewamwagia Oil, Tulia tuSawa? Mwantesa Utd fan![]()
Kwenye game 2 umefungwa 6-1Watakuja tena pale geto ..jana waligoma wakalala na nguo
Scott ni hatari sana yule dogo, anajua kukaba na kuanzisha mashambulizi.Fred alianza taratibu sana baadae akakaa sawa pia upigaji wa pasi bado sio makini sana naona kwa sasa ni upigaji wa pasi kwa usahihi tu ila scott naona anazidi kuimarika kila siku anakata umeme haswaaaa
Kumbuka ile ilikua ni counter attack kali, ulitaka Maguire alime kwanja kwa nyuma apewe red card?Magure ana umwamba gani nakati Batshuayi alimfanya uchochoro kusawazisha goli katikati ya mabeki wa3?
Muwe mnapunguza mahaba![]()