Chelsea nao wana matatizo. Mechi ya jana nayo wame-struggleNi kweli kabisa Chelsea tulibahatisha tu ushindi..
Chelsea nao wana matatizo. Mechi ya jana nayo wame-struggleNi kweli kabisa Chelsea tulibahatisha tu ushindi..
Sijui kitu gani kikichofanya tushindwe kutumia nguvu zetu zote kumpata mmojawapo hapo kati ya Ericksen, Madison au BF. Pamoja na mapungufu yanayotajwa kuhusu Bruno siamini kama hiyo ni sababu ya Msingi, nadhani sababu he is not English
Naunga mkono hoja, Pogba style yake ya uchezaji ni ya ku risk kupoteza mipira hivyo anapaswa kupandishwa juu, ili hata akipoteza mpira iwe rahisi ku recover
Pogba amemzidi mbali Gerlad
Sanchez ndio hatari zaidi
Tokea ajiunge MUFC katika mechi tisa ndio anafunga goli moja na katika mechi tano anatoa assist moja
Kiungo hakikuwa overrun mkuu, goli tulilofungwa lilitokana na Kupoteza mpira wakati tunashambulia kwa maana kwamba hata angekuwepo Matic/Scot uwanjani nao wangekuwa mbele kushambulia kwa hiyo tungepigwa tu kwa goli la namna ile (counter attack)
Kutoa mzuiaji na kisha kuingiza mchezaji anayesaidia mashambulizi si kupaniki kama unavyosema, Lengo ni kuongeza nguvu kwenye kushambulia. SAF alikuwa anafanya, Jose huwa anafanya hivyo na Nimeona makocha wengi wanafanya hivyo
Hiyo ni sawa na timu inaongoza na inataka kulinda matokeo, inaamua kutoa mchezaji wa kushambulia na kuingiza mchezaji wa ukabaji. Sio kila sub lazima iwe like for like substution, yaani kwa kuwa ametoka Scot basi aingie Matic. No, it's like that. Circumstance ya game ndio huwa inaamua nani aingie na nani atoke
Siku nikiangalia game ya kocha wako kipenzi Pep, akifanya hivyo nitakukumbusha huu mjadala. Tuombe uzima.
Tunaua kiwango chake, how?
Kuhusu Jesse nadhani OGS anapaswa kuwa dynamic, intensity ya Jesse haihitajiki tunapokutana na Cristal Palace au Southampton au Norwich. Tukikutana na hivi vitimu vidogo ambavyo kazi yao ni kukaa nyuma na kusubiri mfanye makosa ili wawaadhibu tunapaswa kuwatumia akina Angel Gomes na MataDah! Kazi munayo Haki ya Mungu.
Manchester United news: Ole Gunnar Solskjaer promises to stick with Jesse Lingard despite dry spell | Goal.com
Ole Gunnar Solskjaer has defended Jesse Lingard's poor start to the season, insisting his "energy" is important to the way Manchester United play.www.goal.com
Kwa uelewa wako hiyo ndio tafsiri ya "group of players"?Kusikia kwa kenge hadi damu zitoke masikioni,
Hahahaaaa mutakubali ile kauli ya mhuni Mourinho " I have a group of players"
Ina maana angekua anajua kiswahili nina uhakika angesema "nina genge la wahuni"
Mutaelewa tu.Kwa uelewa wako hiyo ndio tafsiri ya "group of players"?
Toka sir alex asepe Jose Mourinho ndio kocha mwenye mafanikio makubwa sana hata uwiano wa kushinda mech ni mzur anakamata nafasi ya pili baada ya sir alex sema bodi na mashabiki uchwara hawakuona vile huyu mreno anavutwa shati
Mimi nilitambua mchango wake ila kuna baadhi humu walifikir ubovu wa timu ni kocha peke yake
Sijui kaka ya Garry Neville anasemaje sasa
Pia hii timu inazimishwa na class of 92 vimekuwa visemaji kila uchwao kila mchezaj wakigeni ni kuponda tu
Tujiulize Lingard ana ball contro nzur zaidi ya Lukaku? Nani amewah kumsikia scholes akimsema lingard au garry? Pogba ni mbovu zaidi ya lingard?
Class of 92 wanachangia kuua morali ya timu
Kwa sasa Scot is better kuliko Matic, game za pre season zimethibisha hivyo, Matic amepungua sana uwezoNguvu ipi unaizungumzia wakat fred na matic wapo bench scott atafute namba huko wakat timu ina watu?
Tunahitaji attacking midfielders zaidi kuliko defensiveNguvu ipi unaizungumzia wakat fred na matic wapo bench scott atafute namba huko wakat timu ina watu?
Hivi kwanini aki struggle Lingard au Martial au Daniel James au Scot au Mata au yoyote hatusemi wanaangushwa na akina Pogba?Kwamba huoni anavyo struggle?
Usijeshangaa kuwa hao the so called class of 92' wanasumbuliwa na Wivu hawataki Rekodi na Mafanikio yao Kuvunjwa ndiyomana wapo tayari Aondoke Mourinho aje Ole, Aondoke Herrera abaki Scot, Aondoke Lukaku abaki Lingard, Aondoke Pogba asajiliwe Muengereza yeyote ambae watakuwa na uhakika hataleta mafanikio kama yao.
Sometimes mafanikio binafsi ya Mtu yanakuwa shida sana kupinduliwa.
Hivi kwanini aki struggle Lingard au Martial au Daniel James au Scot au Mata au yoyote hatusemi wanaangushwa na akina Pogba?
Hivi Pogba ku struggle inasababishwa na wenzake? Kwanini wenzake wanapo struggle hatusemi Pogba na wengine ndio chanzo?
Hivi Pogba kupoteza mpira kisha timu pinzani ikatumia huo udhaifu na kuiadhibu United, hapo wenzake wanakuwa wamemuangushaje?
Tunahitaji attacking midfielders zaidi kuliko defensive
Hivi kwanini aki struggle Lingard au Martial au Daniel James au Scot au Mata au yoyote hatusemi wanaangushwa na akina Pogba?
Hivi Pogba ku struggle inasababishwa na wenzake? Kwanini wenzake wanapo struggle hatusemi Pogba na wengine ndio chanzo?
Hivi Pogba kupoteza mpira kisha timu pinzani ikatumia huo udhaifu na kuiadhibu United, hapo wenzake wanakuwa wamemuangushaje?
Mpumbavu uyo, wa khali ya juu..We jamaa unapenda sana lugha za matusi
Apo fans wa Chelsea tutoe ..sisi ni wastaarabu sana ..Mashabiki wa Manchester city, Liverpool,chelsea hamuwezi kukoment humu bila matusi?
Kama matusi ndo raha yenu basi jaribu kufikiri unatukana mtu sawa na babako?
MKUYENGE narudia jiheshimu.