G8M8
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 432
- 389
Asije akakushika ww tu
Adama traole ataingia dkk ya 78 kumshika matako degea
Adama traole ataingia dkk ya 78 kumshika matako degea
Sio mbwa mwitu?Nawakaribisha kula nyama choma ya mbweha leo usiku.
mkuu kwani kigwangwala amewaweka mnadani hao mbwa mwitu?Sio mbwa mwitu?
Hawa Ni wa Epl, Huku kwetu wanaouzwa Ni Mamba na Kiboko.mkuu kwani kigwangwala amewaweka mnadani hao mbwa mwitu?
Kwanza kabisa. Njoo nikupakate alafu.. UkalaleMan u leo na nyie mkijitahidi sana sare mliwaonea cku ile wale watoto wa lampard ila leo kazi mnayo
Mkipigwa msilaumu na mkidraw jisifuni
Ushindi sahauni
Hahaha..tunaongoza ligi sio??!!Leo tunarudi kwenye nafasi yetu pale juu
Mtaongoza ligi,ligi ipi hiyo labda ligi ya BurundiHahaha..tunaongoza ligi sio??!!
Hapa ole ananikosha sana..Smalling na wala jamaa zake sub ishakuwa kazi kuonekana ha aahaa
Dhidi ya WolvesView attachment 1185593
Mfumo gani leo? | |
Sema Sanchez nahisi... Ole angemuaminiDhidi ya WolvesView attachment 1185593
Kama sijakosea huo Ni 4-2-3-1 maana Kuna mid wawili tu.
Mfumo gani leo?
Acheze no ya nani hapo??Sema Sanchez nahisi... Ole angemuamini
Kama kawa 4-2-3-1
Mfumo gani leo?