Ntalukwilasa
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 989
- 1,281
Uzembe wa martial umetukosesha goli..kwa mchezaji kama chicharito angeingia nayo
Sorry too lateLet's go WOLVERHAMPTON
Mwenye link ya kuangalia live kwenye pc naomba jamani...firstrow naona wanasumbua
Huyu martial anamatatizo kwenye ufungaji. Angekuwa na goli 3 maana nafasi amepata za wazi kabisa anachezeaMartial gooooo

Bissaka another news![]()
Wan bissaka ni fireeee
Mwenye link ya kuangalia live kwenye pc naomba jamani...firstrow naona wanasumbua