Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,573
- 47,036
Dah umeona ehh kikosi kimoja hatariPirlo,gatuso,inzaghi,clarence seerdolf,ambrossin,shevshenko
Dah umeona ehh kikosi kimoja hatariPirlo,gatuso,inzaghi,clarence seerdolf,ambrossin,shevshenko
Noma sana mkuuDah umeona ehh kikosi kimoja hatari
Uko sahihi, kila timu aliyofukuzwa hata Chelsea ni kugombana na wachezaji muhimu kwenye timuKimsingi kweli Bodi imezingua kutompa Mourinho wachezaji anaowataka. Katika hili wanashindwa hata wao wamshike wapi Mou.
Ila tusisahau kuwa ni huyu huyu Mourinho aliwaomba wafuatao:
1. Mickhtaryan > tunajua kilichotokea.
2. Sanchez > tunajua kinachoendelea
3. Pogba > sitaki kusema kitu hapa, ni mchezaji mzuri ila kinidhamu recently ameboronga.
4. Bailly na Lindelof
Lazima tukubali kuwa sasa hivi Mou ana tatizo when it comes to 'Man Management'. Kama anashindwa kuwa manage hawa waliopo, kipi kinatuaminisha kuwa atabadilika kwa hao watakaokuja??
Mchezaji muhimu ni nani mkubwa?Uko sahihi, kila timu aliyofukuzwa hata Chelsea ni kugombana na wachezaji muhimu kwenye timu
Nani alijua van gaal anatimuliwa?Naona maombi yenu uamefanikiwa!View attachment 888035
Bora iwe hivyo maana tumechokaMan United's board has neither accepted nor denied Mourinho's sacking reports. According to many different journalists, reports are that Mourinho will be sacked this weekend regardless of tomorrow's result.
Kwa hiyo leo ndiyo siku ya mwisho kwa Mourinho na MUFC? I can't believe.
Hebu soma tena hii fasri yako kama hata wewe utaielewa?Mchezaji wa zamani wa Manchester United na Sky Sports aliyepanda Gary Neville amevunja kabisa timu yake ya zamani kwa uchezaji wa Ijumaa kuhusu hali ya kazi ya meneja Jose Mourinho, ambaye amesema kuwa atafukuzwa bila kujali matokeo dhidi ya Newcastle Jumamosi. Neville alimshtaki Manchester United ya "kucheza Meneja wa Soka na klabu kubwa duniani," akizungumzia mchezo maarufu wa video.
"Ikiwa hii ni kweli na imevunja siku kabla ya kutokea na atapaswa kutumiwa mwishoni mwa wiki, ni aibu kabisa," Neville alisema juu ya Sky Sports. "Ambapo ni maadili na kanuni za Manchester United kama hii ni kweli?"
Neville alilia moyo mkakati wa usimamizi - au ukosefu wake - tangu kustaafu kwa Sir Alex Ferguson.
"Mwisho wa siku, hii imekuwa ikiendelea kwa miaka mitano au sita," alisema. "Jose Mourinho ni mmojawapo wa mameneja bora duniani na nadhani wakati huu wakati mwingine meneja yeyote duniani angejitahidi katika klabu hiyo ya mpira wa miguu na njia ambayo ajira hutumiwa, njia ambayo hutumika."
Hatimaye, kwa Neville, wakati matokeo juu ya lami hazikutazama silverware klabu ya tamaa, kushindwa kwa muda mrefu kutosha kwamba lawama iko juu.
"Katika wakati huu kwa wakati kuna kitu kilichooza kwa msingi katika maamuzi yaliyofanywa katika miaka minne au mitano iliyopita na lazima iwe kutoka juu," Neville alisema. "Ikiwa ninaajiri mtu chini yangu na yeye hushindwa, hatimaye ninahitaji kuchukua jukumu. Ninahitaji kusimama na kusema 'Mimi sio nzuri ya kufanya hii'. Watu katika chumba cha bodi ambao wanasimamia kazi ya mpira wa miguu hawana mahali karibu na kutosha. Hawana sifa. Wanacheza Meneja wa Kandanda na klabu kubwa duniani.
Nilizani ni mimi pekeyangu sijaelewaHebu soma tena hii fasri yako kama hata wewe utaielewa?
Google translationHebu soma tena hii fasri yako kama hata wewe utaielewa?
Nimekaa nikaifikiria hii timu yetu nikaona mambo yafuatayo;
√Mourihno inabidi aondoke kwanza,kwa maana kwanza huyu ni kocha ambaye amekuwa akifocus kwenye instant success then anaondoka na mpaka sasa kwa UNITED ni kama amefeli..mafanikio anayosema ameyapata OT bado ni madogo ukilinganisha na ukubwa na timu yetu..Mourinho OUT then mambo mengine yatafwata..
√Hii timu inabidi iappoint director of football atakayekuwa anashughulikia maswala yote yanayohusu recruitment ya wachezaji na perfomance ya timu maana huyu Ed Woodward anaonekana kama amepwaya kwenye soko la usajili.. yeye abaki kuwa CEO.
√Kwa upande wangu ukiniambia ni kocha gani unamtaka aje OT,nitawataja watatu..Pochetino,Ancelloti,na allegri..
√Kocha atakayekuja inabidi ahakikishe wachezaji wanakuwa na nidhamu ndani na nje ya uwanja..Hata hii ishu ya pogba sio ya kumtetea kabisa,,maana kama mchezaji wa kulipwa inakupasa uwe na proffesionalism,sio unakua hujitumi kisa umegombana na kocha..
√All in all miaka sita sasa inaenda hakuna cha maana zaidi ya kuzururazurura tu kwenye ligi na mashindano mengine,ni wakati sasa uwekezaji mpya ukafanywa maana soka limebadilika la sivyo tusahau kabisa kurudi kwenye level zetu
√Imagine at one moment Fergie timu yake kwa mfano ilikuwa na wanyama kama Tevez,Ronaldo,Rooney,Scholes,Carrick,Vidic,Ferdinand na wote wapo moto leo hii ukiangalia jinsi timu inavyosajili sajili ni vituko tupu..Ukweli lazima usemwe,kwa kipindi hiki baada ya Fergie sajili zimekuwa ni za ovyo kupita maelezo
Finally unakubali the manager is not only the main problemNimekaa nikaifikiria hii timu yetu nikaona mambo yafuatayo;

Kwa mechi ya jana nilivyoona mourinho kuamka hawezi naona msimu wake watatu una mhukumu hamna namna ile chelsea ya 2015/2016 inatukumba