Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jiandaeni kuweka turubai za kuhami msiba...
Ningekuwa naendelea kubet wiki hii ngekula hela nilijua chelsea na liverpool ngoma itakuwa kati chelsea darajani mtata na liverpool alishafungwa mech ya kwanza ngumu kumfunga tena na chelsea vigumu kufungwa darajan wakat gem ya kwanza alishinda ugenini ilikuwa simpo sana
 
Basi itapendeza sana tukifungwa,inauma ila lazima iwe hivyo ili tuweze kucheza mpira safi.
Binafsi siamini kama kocha akitimuliwa tutakuwa poa kwa nini nasema hivyo moja tulikuwa na moyes ambae aliichukua timu ikiwa ni bingwa hakufanya hata cha maana tulishindwa hata kushika nafasi ya nne kwa nini timu yetu? kuna baadhi ya maeneo ilianza kuchoka ukianza na mabek uje 6 ambapo ililazimika kumuomba scholes arudi kucheza akiwa kastaafu ili kutetea ubingwa

Siku tunatoa 5-5 old traford ilikuwa ni ishara tosha uwekezaji unahitajika wa maana lakin hadi sasa hivi tunanunua players wa kawaida sana tuna pogba anacheza kiungo lakin hawez kukaba means nae ni namba 9 tu akipoteza mipira utamuona hana bidii ya kuutafuta

Sanchez

Toka akiwa arsenal alikuwa ndio mchezaj anaeongoza kwa kupoteza mipira tulifikir labda kaichoka timu lakin kahama na janga lake

Uje kiungo cha ukabaj bado tatizo

Uje 4 na 5 hamna hata nusu ya wes brown au oshea achalia mbali ferdanad na vidic

Uje 7 hadi muda huu hamna hiyo kitu

Viungo namba 8 na 10 hawa wamejaa pale hadi unakimbia

Hitimisho

Kosa lipo kwenye uongozi angalia barcelona wanavyohangaika na timu yao wanasajili kadiri wawezavyo ili kupata balansi ya timu sisi kimya kama una mess na suarez kwa nini uhangaike? Wanafaham hao watasepa tuchukue mfano wa barca

Hata kocha ana matatizo ila bodi yetu ina matatizo zaidi ya mourinho ndo mana hadi mud huu wanashindwa kuamua jambo kwanza wanachukua watu ambao sio rafiki na mfumo wa timu wanaangalia umaarufu wa mtu tu

Angalia arsenal,barca,buyern na madrid wanaajili watu ambao ni rafiki kwa falsafa zao.
 
Mkuu,hata kama hatutokuwa poa lakini tutapata mtu atakayejenga timu na sio huyu mreno.

Wachezaji wetu ni wazuri mno,wanatakiwa wapate kocha wa kuwajaza confidence tu.

Huwezi kuwa na kocha anayejiita bora lakini hawezi kutengeneza wachezaji wake alionao wawe bora,kila siku analalamika tu,kwanini asiwafanye hao alionao kuwa bora?
Amenunua Lindelof,baily anashindwa kuwafanya bora hawa? Hivi baily ana tatizo gani?mbona anacheza na smalling na anafanya vizuri sana? Kama ulitazama game na Valencia yeye ndio alikuwa bora.

Wachezaji karibu wote alionunua yeye ameshindwa kuwatumia,na bado anajiita bora.

Hivi unakikumbuka kikosi babu alichochukulia ubingwa wake wa mwisho?

Bado naamini MUFC tatizo pale kocha tu,tuna timu nzuri mno.

Unawezaje kumpa mtu wachezaji wakati ameshindwa kuwatumia alionunua? Bado naamini hata angepewa Toby bado angemfanya awe kama Jones.

Giggs kacharuka huko insta

We've seen David Beckham leave for pennies.
We've felt the sting of 150 goal Van Nistelrooy leaving.
They stole Cristiano Ronaldo from us.
They nipped Carlito Tevez from under our noses.
El capitano Roy Keane had the biggest fallout ever.
Wayne f**king Rooney was transfer listed.
So somebody who dared to leave once is threatening to leave again, the door is to the left. Adios mofo.
Nobody is bigger than our club.
Nobody.

Follow @giggsholic for more
~
~
#mufc #united #europa #europaleague #champions #championsleague #championsleaguefinal #fa #facup #football #futbol #manchesterunited #manutd #manunited #adidas #nike #reddevils #red #manchesterisred #ggmu #oldtraffordView attachment 887202
Utatu mtakatifu
 
Back
Top Bottom