radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Halafu unatoa mfano wa chelsea timu ambayo kwa misimu kama 8 wamekuwa bora zaidi yetu hata ktk renk za uefa wapo kitambo top 10 sisi toka aondoke sir alex hatumo bado unalinganisha na timu iliyotimiaUnamtetea Mou sijui kakupa nini kikubwa Pira lake bovu hajawahi kunifurahisha kokote alipokuwa kuanzia Inter, Chelsea , Madrid na sasa ManU
Sivutiwi kabisa na mpira wake anawajaza frustration wachezaji wanakuwa hawajiamini uwanjani
We umeiona Sarriball inayochezwa Chelsea ? Sarri amewaambia wajiamini wachezaji wake wacheze wanavyotaka wawe huru
Kaja mpuuuzi conte kabeba ubingwa mourinho kabeba ubingwa umejua kwa nini? Uwekezaji wa chelsea ulikuwa wa uwanjani sio wa jezi kama sisi
To be honest with you, I'm furious.